Imani yetu Ijengwe Kwenye Nguvu za Mungu

Amini

Biblia Katika Kitabu Cha 1Wakorintho 2:5 Inasisitiza Wazi Kuwa, “IMANI YETU IJENGWE KWENYE NGUVU ZA MUNGU NA SI MANENO MATUPU YA HEKIMA AU USHAWISHI WA KIBINADAMU”
Nasi Tunajua Kuwa IMANI CHANZO CHAKE NI KUSIKIA, NA KUSIKIA NI MATOKEO YA NENO LA MUNGU (Warumi 10:17), Na Kila Aliyejenga Imani Yake Kwenye MAANDIKO MAKAVU Bila UDHIHIRISHO WA ROHO NA NGUVU ZA MUNGU (Bila Kuwa Shahidi Binafsi Wa Nguvu Za Utendaji Wa Mungu) Ni Rahisi Kuanguka Na Kuiacha Imani.
MAANDIKO MATUPU, Yasiyoambatana Na MTEMBEO WA NGUVU ZA MUNGU Husababisha Wanaoyapokea KUDUMAA NA KUZOELEA Na Mwisho Wa Siku Linakuwa “KUSANYIKO LA DINI” Na Watu Wanakuwa Wanahudhuria Na Kukusanyika Lakini MAISHA YAO YANAKOSA UHALISI WA MUNGU WA BIBLIA WANAYEMTAJA KWA MIDOMO YAO!
Kanisa Au Kusanyiko Linalodai Kuwa Ni La KRISTO Lakini Hakuna UDHIHIRISHO NA MTEMBEO WA ROHO MTAKATIFU NA NGUVU ZAKE; Hiyo Ni DINI TUPU, Na Haiwezi Kubadili Maisha Ya Watu; WATAKARIRI MAANDIKO, WATAJIHESABIA HAKI, WATATUMIA MAANDIKO KUTETEA DHAMBI ZAO, LAKINI HAWATAKUWA NA BADILIKO KWENYE MAISHA YA KILA SIKU… WATAMSEMA YESU MDOMONI, LAKINI MATENDO NA MAISHA YAO YA KILA SIKU “YATAKUWA YAKIZIKANA NGUVU ZAKE”
Si Kila Jengo Linaloitwa “KANISA” Ni Kanisa Kweli; Mengi Ni Mikusanyiko Tu Ya WASHIKA DINI, Lakini YESU HAYUPO HAPO!

Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: