Kutunza Uwepo wa Mungu

uweponi mwa Bwana

uweponi mwa Bwana

Kitu Kikubwa Kwenye Maisha Yako, Jizoeze Kutunza Uwepo Wa Mungu Na Ushirika Wako Na Roho Mtakatifu; Maana Kuna Wakati Atakuambia UENDE NYIKANI/ JANGWANI, Mahali Penye UKAME/ UHITAJI NA UHABA Na Mbali Ya Kuwa Huko, Anaweza Bado Kumruhusu IBILISI AKUJARIBU KWA MUDA [Inategemea Muda Wako Utakuwa Kiasi Gani, Kwa Yesu Zilikuwa Siku 40] Lakini Kubwa Zaidi Na La Muhimu Ni Kwamba, “ATAWAAGIZA MALAIKA WAJE HUKOHUKO JANGWANI, WAKULISHE, WAKUTIE MOYO, WAIINUE IMANI YAKO, WAKUFARIJI NA KUKUONESHA NAMNA YA KUTOKA KWENYE JARIBU LAKO KWA USHINDI”
Mwamini Roho Mtakatifu; Usitie Shaka Kwa Sauti Yake Ya Ndani Ama NENO LAKE, Hawezi KUKUACHA YATIMA, Atakuwa Pamoja Nawe Taabuni Na Atakuokoa Na Kukutukuza (Zaburi 91:11-12,15).

” Mara ROHO Akamtoa Aende NYIKANI/ JANGWANI. Akawako Huko JANGWANI Siku Arobaini, Hali AKIJARIBIWA NA SHETANI; Naye Alikuwa Pamoja Na Wanyama Wa Mwitu, NA MALAIKA WALIKUWA WAKIMHUDUMIA” (Marko 1:13-14).

Mungu Akikupeleka Mahali, Hata Kama Ni Pagumu Au Pakavu Na Pakame Kiasi Gani; Maadamu Una Uhakika HAUKUJILETA HAPO, Hata Hali Ikiwa Nzito Na Ngumu Kiasi Gani, UTATOKA SALAMA!
“MUNGU AKIWA UPANDE WETU, NI NANI WA KUWA JUU YETU?” (Warumi 8:31).

Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: