Nataka ufanye zoezi la utoaji sasa na muda huu umalizapo kusoma!

Sadaka

Mithali 22:6 Inasema, “TAJIRI HUMTAWALA MASIKINI, NAYE AKOPAYE NI MTUMWA WAKE AKOPESHAYE”
Mtu Anapokopeshwa, Yule Mkopeshaji Anakuwa Na Faida Kadhaa;

1.Mkopeshaji Anaamua Kiasi Cha Riba Anayotaka Kutokana Na Mkopo Aliotoa

2.Mkopeshaji Anaamua Arudishiwe Lini Pesa Yake Na Tena Ikiwa Na Riba

3.Mkopeshaji Lazima Apewe KITU AU MALI Fulani Kama KISHIKA MKOPO Ili Ikitokea MKOPAJI Ameshindwa Kulipa, Mkopeshaji Akichukue

4.Mkopeshaji Anakuwa Na Sauti Juu Ya Mkopaji; Kiasi Kwamba Huchukua Furaha Na Amani Ya Mkopaji

Sasa; Mithali 19:17 Inasema, “AMHURUMIAYE MASIKINI [MHITAJI] HUMKOPESHA MUNGU (Huwa Na Sauti Ya Kitawala, Na Mamlaka Ya KUAMURU VITU KWA MUNGU); NAYE ATAMLIPA KWA TENDO LAKE JEMA”

Kuna Vijana Mayatima Mimi Na Baadhi Ya Marafiki Zangu Tunawasomesha Kupitia Shirikisho La Wakristo Wenye Tija [The Association Of Born Again Christians With Impact (THE ABACT WITH IMPACT) ], Na Muda Wao Kurudi Shule Umefika, Hawa Wako Kidato Cha Sita Wawili. Wengine Wawili Wako Vyuoni; Mmoja Chuo Cha Ukunga, Na Mwingine Chuo Cha Ualimu.
Inahitajika Karibu Shilingi Milioni Moja Na Zaidi. Mimi Sina Hiyo Pesa Ila Mungu Anayo.

Nataka Uchukue Uamuzi Sasa, Kwa Kadri Ulivyoguswa Na Jambo Hili, Utume Sadaka Yako KAMA MKOPO KWA MUNGU, NA UINENEE YAFUATAYO;
1.Unahitaji Hiyo Pesa Lini/ Ama Unahitaji Nini Badala Yake Na Lini?
2.Unataka Riba Gani?
UMELIONA NENO LA MUNGU “KAMA KISHIKIA MKOPO” Kutoka Mithali 19:17… Ni Wakati Wako Kumkopesha Mungu!
IMANI NI KUWA NA UHAKIKA; NI KUFANYA ZAIDI YA UELEWA NA UFAHAMU WAKO; NI KUTENDA KILE MUNGU ANAKUSEMESHA MOYONI MWAKO.

Unaweza Kupiga Simu Kwangu Kuuliza Kama Hujaelewa, Ila Hiyo Sadaka Ya “KUMKOPESHA MUNGU” Inahitajika Walau Kesho, Ukikwama Jumapili, Maana Jumatatu Wanafunzi Wataihitaji Pesa Husika.

M-pesa 0753 466 675
Tigo 0655 466 675
Utumapo Sadaka Yako Usisahau Kutuma Na Jina Lako Na Ujumbe Ukielezea Umetoa Na Uko Wapi; Maana Mbali Ya Kuwa Mungu Atakubariki, Lakini Nami Nataka Kuwa PRAYER PARTNER WAKO.

SIJAZOEZWA KUONA AIBU KWENYE KITU AMBACHO NAJUA KITAYABADILISHA MAISHA YAKO; NITAENDELEA KUKUSHIRIKISHA MAMBO YA BARAKA KAMA HAYA KADRI YANAVYOJITOKEZA, MAANA NATAKA UFANIKIWE!

Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo
One comment on “Nataka ufanye zoezi la utoaji sasa na muda huu umalizapo kusoma!
  1. Gitwaza jean says:

    Jambo,nina ishi Rwanda nina ushuhuda kuhusu Proverbs19-17 nilipukuwa nikisoma Biblia nikaona jambo hilo ilikuwa maraya kwaza kuliona basi nikashangaa sana je muntu anaweza kumu kopesha Mungu? hiyo wakati nilikuwa najifuza kufanya kila neno Mungu anasema kupitia Biblia basi wakati nilikuwa na shangaa sana naneno hilo nilikuwa kwenye nyumba nikasikia kelele nikatoka ilikuwa mucana kama saa sita kulikua juakali nikamuana muzee maskini mbele zangu nikakimbia kwenda kumuana alakini kwamoyo nikasema naenda kupokea mbaraka nika muuliza je mbona waka hapa? akasema mtoto maskini nikitu kibaya nika mupa pesa akasema je wajua mbaraka za mzee? nikase asate napokea kwaleo sijapata lakini naju kama Mungu ni mwanifu atanipa Mungu anatujaribu kuona imani yetu. hata fungo lakumi ni meanza kutoa kilaneno ninaposoma lazima ni fanye kusamehe waasi wangu kuwa ombea hata kama nivugumu wewe fanya mutii neno lake . asante ikiwa wataka kuniandikia my mail:gitwazaj@yahoo.fr nitafurahi.thanks

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: