Sipendi Kuona Mkristo akikosa Kiwango

Kiwango

Kati Ya Mambo Ambayo Sipendi Kuona Kwenye Maisha Ya Mkristo Wa Kweli Ni Kukosa KIWANGO (STANDARD) Anayotakiwa Kuwa Nayo Kwenye Maisha Yake Na Maeneo Yote Ya Utu Wake.
Wakristo Wengi Wana Tabia Ya KUJIPIMA NA KUJILINGANISHA NA WANADAMU WENZAO, Badala Ya Kujipima Na Kujilinganisha Na NDOTO YA MUNGU JUU YA MAISHA YAO!
Huyo Mtu Ambaye UNAMKUBALI AU KUMFANYA “ROLE MODEL” Amefika Hapo Kwakuwa AMEKUWA MWAMINIFU “KUFUATILIA NDOTO YA MUNGU KWAKE” Na Alipoweka Bidii Kutendea Kazi MAONO YA MUNGU JUU YA MAISHA YAKE, YAKAMFANYA AWE HIVYO ALIVYO!
Si Vibaya Wala Si Kosa Ama Dhambi KUMKUBALI, KUMPENDA NA KUMCHUKULIA MTU FULANI ALIYEFANIKIWA KAMA “KIOO CHAKO” Bali Tatizo Linakuja Pale UNAPOPOTEZA MAONO YAKO NA NDOTO YAKO Na Kuamua Kuwa PHOTOCOPY Ya Huyo ROLE MODEL WAKO.

Biblia Inasema, KUNA MAMBO AMBAYO MACHO HAYAJAWAHI KUONA, WALA MASIKIO HAYAJAWAHI KUSIKIA, MAMBO AMBAYO HAYAJAWAHI KUINGIA KWENYE MIOYO YA WANADAMU; HAYA MAMBO MAKUBWA, YA AJABU, MUNGU AMEYAANDAA KWA AJILI YA WALE WOTE WAMPENDAO, WALIO TAYARI KULIPA GHARAMA NA KUKAA KWENYE USHIRIKA NA UWEPO WAKE (1 Wakorintho 2:9-10).

Sikubaliani Na Hali Ya Mkristo Kuwa Tayari Kufanya Chochote Eti Kwa Vile Kinamsaidia Kumudu Maisha Au Kujikimu… Ndiyo Unaweza Kuanza Na Kitu Kidogo, Cha Kukusaidia Kuyakabili Maisha Lakini Kisikubane Na Kukuondolea NDOTO NA MAONO YAKO MAKUBWA ULIYOBEBA NDANI YAKO…. MAONO AU NDOTO YAKO HIYO KUBWA, HAIWEZI KUSEMA UONGO, IJAPOCHELEWA INGOJE, MAANA NI KWA MUDA ULIOAMURIWA [INA MUDA MAALUM WA KUWA KITU HALISI], NA INAFANYA HARAKA ILI IJE NA KUTIMIA (Habakuki 2:2-3).

Mwl D.C.K

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: