Agano Jipya!

agano jipya

Kwenye AGANO LA KALE, Musa Akiwa Na Mungu “WA KUMWITA TOKA MBINGUNI” Aliweza Kugawanya MAJI (Kizuizi) Njia Ikaonekana Akapita Yeye Na Israeli Kwenye NCHI KAVU Kuelekea KANAANI, NCHI YAO YA MAZIWA NA ASALI!
LAKINI
Kwenye AGANO JIPYA, Bwana Yesu (Akiwa Mtu 100% Lakini Aliyejaa Roho Mtakatifu) Hakuhitaji Kugawa Maji Ili Kupata NJIA YA KUPITA Bali ALITEMBEA JUU YA KIZUIZI, MAJI YA BAHARI!
Kwa Jina La Yesu Aliyekufanya MSHIRIKA WA AGANO JIPYA KWA DAMU YAKE; Pokea Upako Na Neema Ya KUTEMBEA JUU YA KILA MAJI YALIYO MAISHANI MWAKO, Amen!

Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo
One comment on “Agano Jipya!

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: