Sadaka

Yesu Anasema, “BASI UKILETA SADAKA YAKO MADHABAHUNI, NA HUKU UKIKUMBUKA/ UKIJUA YA KUWA NDUGU YAKO ANA NENO JUU YAKO, IACHE SADAKA YAKO MBELE YA MADHABAHU, UENDE ZAKO UKAPATANE NAYE KWANZA HALAFU NDIPO URUDI NA KUTOA SADAKA YAKO” (Mathayo 5:23-24). Hili Ni Agizo La Yesu Mwenyewe Kuhusu UTOAJI NA SADAKA; Sadaka Ya Kwanza Mbele Za Mungu Ni KUWA NA MAHUSIANO MAZURI NA WATU WENGINE, Halafu MATOLEO YAKO YANAKUJA BAADAYE… Hii Inatokana Na Ukweli Kuwa “MUNGU ANAPENDEZWA NA MOYO SAFI KULIKO SADAKA YAKO”…. Kabla Ya Kupokea SADAKA MKONONI, Mungu Ana Tabia Ya Kupokea MOYO WA MTOAJI NA KUUKAGUA! Kama Unatoa Sadaka Nzuri Mno, Mamilioni Au Hata Mabilioni Lakini Kumbe UMEKWAMA Kwenye Eneo La KUMPENDA JIRANI YAKO KAMA NAFSI YAKO, Maana Yake UNAPOTEZA BURE PESA YAKO; HAIINGIZI CHOCHOTE MBINGUNI, Na Wala Hautapata Matokeo Ya Sadaka Yako. UKIWA NA AMANI NA WATU WOTE, SADAKA ZAKO ZITATOA MATOKEO TU, KAMA YA KORNELIO NA WATOAJI WENGINE WOTE WA BIBLIA! Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with:
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Error: Twitter did not respond. Please wait a few minutes and refresh this page.

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: