Tatizo Kubwa La WAKRISTO

Tatizo kubwa la wakiristo

Tatizo Kubwa La WAKRISTO WA AGANO JIPYA Wako “BUSY” Wanaendelea “KUMNGOJA BWANA” Ilhali Tayari “YUMO NDANI YAO” Na Wengine Wanapiga Kelele Za “SHUKA BWANA SHUKA” Ilhali Tayari “MIILI YAO NI HEKALU LA ROHO MTAKATIFU” (1Wakorintho 3:16-17).
Hiki Ndicho Kitu Kinachotutofautisha Na Akina Musa, Eliya, Elisha, Daudi, Ayubu Na Manabii Wote Wa AGANO LA KALE; Sisi “MUNGU MKUU ANAKAA NDANI YETU TANGU TULIPOOKOKA” Maana “KRISTO ANAKAA NDANI YETU KWA IMANI” (Waefeso 3:17).
Kila Changamoto Uliyonayo SI YA KUINUA MACHO MBINGUNI Bali Ni Ya “KUANGALIA NDANI YAKO” Maana Huko Ndiko Aliko “ALIYE MKUU KULIKO DUNIA NA SHETANI NA KILA CHANGAMOTO” (1Yohana 4:3-4).

Unalia Si Kwa Sababu Huna Mungu, Bali Kwa Sababu Hujui ULIYEMBEBA NDANI YAKO, Sawa Na Wanafunzi Wa Yesu Walivyoteswa Na Mawimbi Ya Bahari Ilhali “YESU YUMO NDANI YA MTUMBWI WAO”

Wewe Ni Mkristo, Mali Ya Kristo, Uzao Wa Kifalme, Uzao Mteule, Mtu Wa Milki Ya Mungu; Acha Kulia TUMIA ULICHOBEBA NDANI YAKO!
Kuna NGUVU ITENDAYO KAZI “NDANI YAKO” (Waefeso 3:20)!

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo
One comment on “Tatizo Kubwa La WAKRISTO

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: