Utakatifu Upatikanao Ndani Ya Yesu

https://i1.wp.com/catchthefire.com.au/wp-content/uploads/2010/07/praying-for-healing.jpg

Ni Rahisi KUMTOA PEPO Au KUUFUKUZA UGONJWA Kwenye Mwili Wa MWENYE DHAMBI, Lakini Ni Nafuu Ya Muda Maana Lile Tatizo Litamrudia Tena Kupitia MLANGO ULEULE WA DHAMBI NA MAISHA YASIYO MAKAMILIFU!
Kutoa Pepo Au Ugonjwa Kwa Mtenda Dhambi Ambaye Hayuko Tayari KUMPOKEA NA YESU AWE BWANA NA MWOKOZI WAKE NA KUACHA NJIA ZAKE MBAYA, Ni Sawa Na Kumfukuza Nzi Kwenye KINYESI; Akiondoka Kwenye UWEPO WA MUNGU (Unaofukuza Hao Nzi) Watarudi Na Kuendelea Kufurahia Kinyesi, Maana Kwa Mlango Huo WANAO UHALALI WA KUENDELEA KUKAA PALE; Mpaka Kinyesi Kiondolewe Kabisa Na Harufu Ikomeshwe Ndipo Nzi Wanakosa Pa Kutua, Maana Hawafanyi Kazi Kwenye Mazingira Masafi (Utakatifu Upatikanao Ndani Ya Yesu)!

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: