uzima na mauti

uzima na mauti

Vitu Viwili Kati Ya Vingi Ambavyo Mungu Amempa Ruhusa Mwanadamu Kufanya Uchaguzi Ni UZIMA NA MAUTI (DEATH AND LIFE)!
Ukiwa Hapa Duniani, Kwa Mujibu Wa NENO LA MUNGU, Wewe Ndiye Unayechagua KUFA AU KUISHI Kupitia MATENDO, MAWAZO NA MANENO YAKO!
Unaweza Kuwa UNAKIRI UZIMA NA WINGI WA MIAKA KWA MDOMO NA MANENO YAKO, Lakini Kwa MATENDO YAKO UNAKANA NA KUPINGA HILO Kwa KUTENDA DHAMBI NA MATENDO YANAYOFUPISHA MAISHA KAMA ZINAA, ULEVI, WIZI NA NAMNA ZOTE ZA UOVU; Wewe Lazima UFE, HUWEZI KUNUSURIKA, Umechagua Vibaya, Umechagua Mauti Hata Kama MDOMO WAKO NA MANENO YAKO YANASEMA KUHUSU WINGI WA MIAKA AU UZIMA!

Ila Kuna Mimi, Nimechagua UZIMA NA WINGI WA MIAKA, SIWEZI KUFA VIFO VYA MAPEMA, SIWEZI KUUWAWA, SIWEZI KUFA KWA AJALI, SIWEZI KUFA KWA MKONO WA MTU/ MAPENZI YA MTU; Huu Ni Ukiri Wangu; HESABU YA MIAKA YANGU NITAITIMIZA; NITAZAA MATUNDA HATA KATIKA UZEE WANGU; KWA WINGI WA SIKU NITASHIBISHWA; NITAWAONA “WANA WA WANA WANGU HATA KIZAZI CHA NNE”, NITAKUFA TU PALE YESU MWENYE FYNGUO ZA MAUTI NA KUZIMU AKISEMA “MWANANGU RUDI NYUMBANI, KILA ULILOUMBWA KUFANYA DUNIANI LIMEISHA”
Lakini Pia SITENDI MATENDO YANAYOPELEKEA KIFONI, YAANI DHAMBI NA UASI… NA KICHWANI SIWAZI KUFA, NAWAZA AHADI ZA MUNGU KUHUSU WINGI WA MIAKA NA UZIMA!

“NIMEKUWEKEA MBELE YAKO HII LEO; BARAKA NA UZIMA NA MAUTI NA LAANA: CHAGUA BARAKA NA UZIMA UKAISHI”

Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
  • None
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: