Kanuni Zinazotawala Maisha No:2

kanuni zinazotawala maisha
“KABLA YA KUTAZAMA KIBANZI KWENYE JICHO LA MWENZAKO, HAKIKISHA KWANZA UMEHAKIKISHA MAISHANI MWAKO HAKUNA BORITI” (Mathayo 7:3-5).
Kabla Ya Kufumbua Kinywa Chako Kumhukumu Au Kumsema Mtu Mwingine, Hakikisha Kuwa “WEWE MWENYE UKO SAFI” Na Kama Wewe Mwenyewe “UNA MAKOROKORO YAKO” Usithubutu Kumsema Mwenzako; KAA KIMYA!
Walipomleta Yule “MWANAMKE MZINZI” Kwa Yesu Wakitaka Ruhusa Yao Ili Wampige Kwa Mawe Hadi Afe, Yesu Aliwajibu, “ASIYEKUWA NA DHAMBI NA AWE WA KWANZA KUMTUPIA JIWE”

Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: