Mwenye akili na Mpumbavu

Kwa Wanadamu MWENYE AKILI Ni Yule Ambaye Anaweza Kufanya Maamuzi Sahihi Yenye Kuleta Matokeo Chanya Na MPUMBAVU Ni Yule Ambaye Anajua Kipi Sahihi Na Bado Anatenda Kisicho Sahihi.
Kwenye UFALME WA MUNGU; MWENYE AKILI Ni Yule Ambaye Anafanya Bidii KUJUA MUNGU ANACHOSEMA, Kisha Baada Ya Kusikia Na Kujua Anachukua Hatua Ya KUWEKA KWENYE MATENDO Kile Alichopata Kwa Mungu. Inaweza Kuwa Kwa KUJISOMEA BIBLIA NA KUJUA NINI MUNGU ANAAGIZA Kwa Msaada Wa Roho Mtakatifu Anayetusaidia Kujua SIRI ZA MUNGU Ama Inaweza Kuwa Kupitia MAFUNDISHO Toka Kwa Watumishi Wa Kweli Wa Mungu Au Kupitia VITABU VYA WATUMISHI WA KWELI WA MUNGU.
Na MPUMBAVU Kwenye UFALME WA MUNGU Ni Yule Ambaye ANASOMA BIBLIA YAKE NA KUELEWA, Ama Anasikiliza MAFUNDISHO YA KWELI YA NENO LA MUNGU Au KUSOMA VITABU VYA WATUMISHI WA MUNGU NA KUPATA “MAARIFA NA UJUZI WA KWELI ZA MUNGU” Lakini Mbali Ya KUELEWA, Bado Anatenda NJE YA MAARIFA SAHIHI ALIYOPATA!

“BASI KILA ASIKIAYE HAYO MANENO YANGU, NA KUYAFANYA, ATAFANANISHWA NA MTU MWENYE AKILI, ALIYEJENGA NYUMBA JUU YAKE JUU YA MWAMBA; MVUA IKANYESHA, MAFURIKO YAKAJA, PEPO ZIKAVUMA, ZIKAIPIGA NYUMBA ILE, ISIANGUKE; KWA MAANA MISINGI IMEWEKWA JUU YA MWAMBA. NA KILA ASIKIAYE HAYO MANENO YANGU ASIYAFANYE, ATAFANANISHWA NA MTU MPUMBAVU, ALIYEJENGA NYUMBA YAKE JUU YA MCHANGA; MVUA IKANYESHA, MAFURIKO YAKAJA, PEPO ZIKAVUMA, ZIKAIPIGIA NYUMBA ILE, IKAANGUKA, NALO ANGUKO LAKE LIKAWA KUBWA” (Mathayo 7:24-27).

Mwl D.C.K <

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
  • None
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: