nguvu na Mamlaka

nguvu na Mamlaka

Usijefanya Kosa La Kufikiri “YESU ATAKUWA NA MAMLAKA NA NGUVU ZOTE” Baadae Au Nyakati Zijazo!
Ukweli Ni Huu, Tangu Yesu Alipokufa Na Kufufuka Kwa Ushindi, Mungu Baba Alimpa KILA MAMLAKA, UTAWALA NA NGUVU ZA KUTAWALA MBINGUNI, DUNIANI NA HATA KUZIMU.
Hii Ndiyo Sababu Ya Yesu Kuwaambia Wanafunzi Wake BAADA YA KUFUFUKA; “MAMLAKA YOTE MBINGUNI NA DUNIANI NIMEPEWA” (Mathayo 28:18).
Kwa Lugha Nyepesi, Yesu Anasema, “HAKUNA KINACHOFANYIKA MBINGUNI AU DUNIANI BILA KAULI YANGU; MIMI NDIYE MWENYE AMRI YA MWISHO”
Kiwango Hiki Cha UTAWALA, MAMLAKA NA AMRI Kilikuwa Mikononi Mwa MUNGU BABA, Lakini Yesu ALIPOMTII NA KUFANYA ALIYOMTUMA KUTENDA DUNIANI; MUNGU BABA ALIVUA MAMLAKA, UTAWALA NA NGUVU YAKE YA KIFALME NA KUMVIKA YESU RASMI!

Huyu Yesu Mwenye Hadhi Hii Kubwa Na Nzito Ndiye Uliyembeba Ndani Yako Mara Baada Ya Kuikubali Kazi Yake Ya Msalaba Na Kuamua Kuokoka.
“MUNGU AMEMWEKA YESU AWE MRITHI WA YOTE” (Waebrania 11:2).

Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: