Kwangu Kumwombea Mpagani hama Mkristo Mchanga nirahisi sana Kuliko..

maombi

Kwangu Kumwombea MPAGANI AU MKRISTO MCHANGA Akaponywa Au Kutendewa Muujiza Ni RAHISI SANA Kuliko Kumwombea MKRISTO MZOEFU [Mwenye Miaka Kadhaa Kwenye Wokovu]!
Yule Mpagani Au Mkristo Mchanga Hawa Hawana Tatizo Kabisa, Ni Wepesi Kufungua Mioyo Yao Na “KUMTEGEMEA NA KUMWAMINI MUNGU KWA 100% BILA KUJARIBU KUFANYA CHOCHOTE KUMSAIDIA MUNGU KAZI”
Na Kwa Imani Na Utegemezi Huo, Inakuwa Rahisi kwa Nguvu Za Mungu Kuwagusa Na Kugeuza Maisha Yao!
Wakristo Wakongwe/ Wazoefu Ni Ngumu Kupokea Uponyaji Au Muujiza Kwakuwa “HAWATAKI KUMRUHUSU MUNGU AWASAIDIE KWA 100%” Wanadhani “WATASHIRIKI KUUFANYA MUUJIZA KWA KUFUNGA AMA KUOMBA AU KUTOA SADAKA” Badala Ya “KUWEKA IMANI KWA MUNGU 100% NA KUFUNGUA MIOYO YAO KUPOKEA BURE KWA MUNGU”
Kama Nikiletewa Wagonjwa Wawili; Mmoja Mkristo Mchanga Au Mpagani Na Mkristo Mzoefu/ Mlokole Wa Miaka Kadhaa; Nitaanza KUMSAIDIA YULE MPAGANI/ MKRISTO MCHANGA KWANZA Maana Najua Atapokea Kwa Urahisi, Na NITAUTUMIA ULE MUUJIZA WA MKRISTO MCHANGA/ MPAGANI “KUINUA IMANI” Ya Huyu Ndugu Mkristo Mkongwe/ Mzoefu!
Ndio Maana Ni Rahisi Kwa Mtu Kuokoka Leo Na Kujazwa Na Roho Mtakatifu Na Kunena Kwa Lugha Siku Hiyohiyo; Lakini Mkristo Mkongwe/Mzoefu Anatumia Miaka Na Miaka Akijaribu Kujazwa Na Kunena Kwa Lugha Mpya Kwa Sababu “ANADHANI ATACHANGIA KUMSHAWISHI MUNGU KUMPA HICHO KIPAWA” Hivyo Badala Ya “KUPOKEA KWA SHUKURANI” Anakuwa Busy Kuomba Au Kumshawishi Mungu; Hivyo KIPAWA Kikiletwa HAPOKEI Maana HAJAKAA MKAO WA WA KUPOKEA; “ANAPISHANA NA GARI LA MSHAHARA”

Mwl D.C.K

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: