Mimi ni Mwana wa Mungu

“Kama Yeye [Yesu] Alivyo, Ndivyo Nilivyo Katika Ulimwengu Huu” (1Yohana 4:17b).
“Kadhalika Roho Naye Anashuhudia Pamoja Na Roho Yangu Ya Kuwa Mimi Ni MWANA WA MUNGU; Na Kama Ni Mwana Basi NI MRITHI; MRITHI NIRITHIYE YA MUNGU Pamoja Na Kristo” (Warumi 8:16-17).
“Yesu Ni Mzabibu Na Mimi Ni Tawi Katika Yeye; Chakula Chake Ndicho Nilacho, Uhai Wake Ni Uhai Wangu, Baraka Zake Ni Zangu, Ukuu Wake Ni Wangu, Nguvu Zake Ni Zangu, Neema Yake Ni Yangu, Uzima Wake Ni Wangu” (Yohana 15).
“Ndani Yake [Yesu] Ninaishi, Ninakwenda Na Kuwa Na Uzima Wangu” (Matendo 17:28).
~HUWEZI KUNIAMINISHA, KUNIFIKIRISHA, KUNIBADILI AU KUNIGEUZA NJE YA HAYA; HILO NDILO FUNGU LANGU~
Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: