HII IMENIKUMBUSHA MBALI; ITAKUSAIDIA, ISAIDIE!

KOSA KUBWA Analoweza Kufanya Mtu Ambaye Amekuwa MKUU, MAARUFU, MSHEREHESHAJI, JINA LIMEKUA Nk, Ni KUSAHAU KUWA KABLA YA KUWA HAPO ALIWAHI KUWA CHINI, Au Mahali Pa WATU WA KAWAIDA!
Hata Kama Mungu Atakuinua Au Kukupandisha Kwa Kiwango Gani, JIZOEZE KUTUNZA UNYENYEKEVU WAKO… Mpe HESHIMA KILA MTU, Maana MUNGU HASHINDWI KUKUTOA HAPO ULIPO [PAKUBWA] NA KUKULETA HADI HUYU UNAYEMDHARAU ALIPO [CHINI/ MAVUMBINI]!
Kama Unadhani Nakutania, “UKIKUTANA NA MFALME NEBUKADREZA MUULIZE NINI KILIMPATA ALIPOKOSA NIDHAMU ALIPOPEWA NAFASI YA KUWA JUU NA MUNGU HALAFU AKAITUMIA OVYO”
“Jitieni Nira Yangu, Mkajifunzeni Kwangu, Kwa Maana Mimi [YESU] NI MPOLE NA MNYENYEKEVU WA MOYO” (Mathayo 11:29).

“Iweni Na Nia ILEILE Iliyokuwa Ndani Ya Kristo Yesu Ambaye Hapo Mwanzo Alikuwa YU NAMNA YA MUNGU; LAKINI HAKUONA ‘KULE KUWA SAWA NA MUNGU’ KUWA KITU CHA KUSHIKAMANA NACHO… BALI ALICHUKUA MFANO WA MTUMISHI [BADALA YA KUWA BOSS ALIWATUMIKIA WATU; ALIFIKIA HATA KUWANAWISHA WANAFUNZI WAKE]…ALIJINYENYEKEZA, AKAWA MTII…[Matokeo Yake] MUNGU ALIMWADHIMISHA MNO [ALMPANDISHA ZAIDI YA MWANZO] AKAMKIRIMIA JINA KUU LIPITALO MAJINA YOTE [UMAARUFU NA JINA NA HESHIMA YAKE IKAWA KUBWA KULIKO MWANZO HATA LEO]…” (Wafilipi 2:5-9)!

UMAARUFU UNAKUJA KWAKO, JINA KUBWA LINAKUJA KWAKO, UTUKUFU WAKO UNAKWENDA KUONGEZEKA…Swali Ni Je “UTAKUWA MTU WA NAMNA GANI KATIKA KIWANGO HICHO KIPYA?”
Kama Sasa Hivi Tu Kuna “WATU MAALUM KWAKO, NA VIKARAGOSI AU VIDUDU MTU, Nakuhakikishia HAUTAKWENDA UTUKUFU MWINGINE, Na Ukienda Huko UNAKWENDA KUANGAMIA SI BARAKA BALI NI MAUTI YAKO”

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo
One comment on “HII IMENIKUMBUSHA MBALI; ITAKUSAIDIA, ISAIDIE!
  1. EVODIUS YOHANA says:

    UBARIKIWE SANA MTUMISH MASOMO YAKO YANANIBARK SANA

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: