Dhambi inampa shetani uwezo kuwa Mpangaji wako

maombi..

Unaweza Kuwa Mwombaji Mzuri Sana, Unajua Maandiko Yote Na Una Imani Kubwa, Lakini Kama Una “VIJIDHAMBI VYAKO HUMO NDANI” Vitasababisha Usiweze Kupokea Miujiza Yako Ikiletwa!
Maana Dhambi Inampa Shetani Uwezo Wa kuwa MPANGAJI WAKO, Halafu Yeye Ni roho, Muda Wote Yuko rohoni [kwenye ulimwengu wa roho] kabla haujanyosha mkono kupokea toka kwa Mungu, Yeye Shetani Uliyemfuga Kupitia Mlango wa Dhambi Atakusaidia Kupokea Majibu Yako na Hautaona Matokeo!
DHAMBI IKIFA TU MAISHANI MWAKO, NA UKAUKUMBATIA UTAKATIFU NA KUMNYIMA SHETANI MAKAZI; UTASHANGAA SPIDI YA KUJIBIWA MAOMBI YAKO, MAANA HAKUNA AZUIAYE!
“BASI NA SISI PIA, KWAKUWA TUNAZUNGUKWA NA WINGU KUBWA LA MASHAHIDI [WA KIROHO; MUNGU NA MALAIKA ZAKE, SHETANI NA JESHI LAKE NA WANADAMU PIA] NAMNA HII, NA TUWEKE KANDO KILA MZIGO MZITO, NA DHAMBI ILE ITUZINGAYO KWA UPESI…” (Waebrania 12:1).

Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com
+255 655 466 675

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: