Kanuni ya Kupanda na Kuvuna inatenda kazi

kanuni ya kupanda

KANUNI YA KUPANDA NA KUVUNA INATENDA KAZI;
Hauwezi Kupata Mavuno Mengi Zaidi Ya Kiasi Cha Mbegu Ulichopanda,
Hauwezi Kuwa Na Upako Zaidi Ya Muda Uliowekeza Na Aliye Chanzo Cha Upako,
Hauwezi Kujaa Hekima Itokayo Juu Wakati Bidii Ya Kulitafuta Neno La Hekima Kwenye Kitabu Cha Mwenye Hekima Hauna,
Hauwezi Kuwa Na Jengo Refu Na Kubwa Bila Msingi Imara Uliochimbwa Sana Kwenda Chini,
Hauwezi Kuwa Mti Mkubwa Wenye Matunda Mengi, Matawi Mengi Na Kivuli Kikubwa Bila Kuwa Na Mizizi Mipana, Mikubwa Na Mirefu Iliyojikita Ndani Sana Ardhini Kwanza.
“MUNGU HADHIHAKIWI UNACHOPANDA NDICHO UNACHOVUNA”

Maisha Yako “FAIR SANA” Daima Hauwezi Kupata Uchovu Zaidi Ya Umbali Uliokwenda Na Ukubwa Wa Kazi Uliyofanya.

“MTU MWEMA KATIKA HAZINA YAKE NJEMA HUTOA MEMA NA MTU MBAYA KATIKA HAZINA YAKE HUTOA MABAYA”

Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com
0655 466 675

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: