Mungu hawezi Kufanya Chochote bila Neno lake

..bila neno lake

Mungu Hawezi Kufanya Chochote Bila NENO LAKE; Ukipata Kokote Ambako Mungu Alifanya Bila NENO Basi Na Wewe Uwe Na Uhuru Wa Kuthubutu Kufanya Chochote BILA KUJALI Ulazima Wa Kuwa Na NENO LA MUNGU Kuhusu Hilo Jambo!
Lakini Kama Mungu Na Uungu Wake Lakini KAMWE HAWEZI FANYA CHOCHOTE BILA NENO; Ninakuhakikishia Hautavuka Hapo Ulipo Kama Haujapata NENO Toka Kwa BWANA!
“NENO LAKO NI TAA YA MIGUU YANGU NA MWANGA WA NJIA ZANGU” (Zaburi 119:105).
NJIA Yoyote Bila MWANGA Hakika HAIENDEKI, Na MIGUU Haiwezi Kukanyaga Ambapo Macho HAYAONI, Na Hayaoni Bila TAA Iletayo Nuru… Na KUFAFANUSHA NENO LA MUNGU Kwatia Nuru Na Kumpa Mjinga UFAHAMU!
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com
0655 466 675

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: