Mwili wako ni wathamani

https://i1.wp.com/www.mensfitness.com/sites/mensfitness.com/files/imagecache/node_page_image/article_images/full-body-flush_main.jpg

mwili wako ni wa Thamani

Kumwamini Mungu Kwa Ajili Ya Uponyaji Ni Sawa Na Nyumba Kuamini Kuwa Hata Ikipata Nyufa Au Kubomolewa Mwenye Nayo Atafanya Matengenezo Tena!
Ila Imani Ya Nyumba Ilipaswa Iwe Hii;

“MWENYE NYUMBA ANA AKILI NZURI, AMENIJENGA KWA GHARAMA KUBWA, HAWEZI KUKAA NA KUONA NAPATA NYUFA AU NABOMOLEWA HALAFU AKAKAA TU ETI KISA ANA HELA YA KUFANYA MAREKEBISHO AU KUJENGA TENA”
MASIKANI YA MUNGU [MWILI WAKO] YANA THAMANI KULIKO HATA IKULU YA RAIS YEYOTE; SEMA ULINZI NA KUTUNZWA KWAKE HAVIWEZI KUWA HALISI KWA SABABU HAUAMINI KWENYE HILO… SHETANI AMEKURUHUSU UAMINI UPONYAJI WA MWILI [MASIKANI YA MUNGU] KULIKO KUAMINI KUWA MAGONJWA YANAWEZA KUZUIWA NA NGUVU ZA MUNGU YASIINGIE KABISA KWENYE MASIKANI YAKE!

Hata Kwa Njia Gani, Siwezi Kuwa Mgonjwa; Magonjwa Na Mimi Tunaishi Mitaa Tofauti Na Hatuwezi Kukutana Kama Mashariki Na Magharibi… Magonjwa Yanajua Mimi Si Mteja Wao, Nami Najua Si Mmoja Wao Wanaolipa Kodi Kwa Magonjwa!

“YEYE MWENYEWE ALIZICHUKUA DHAMBI ZETU MWILINI MWAKE, ILI TUKIWA HAI KWA MAMBO YA HAKI TUWE WAFU KWA MAMBO YA DHAMBI; NA KWA KUPIGWA KWAKE TULIPONYWA” (1Petro 2:24).
Msalaba Uliolipia Wokovu Ni Huohuo Ulioondoka Na ANWANI YA MAGONJWA!

Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com
+255 655 466 675

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo
One comment on “Mwili wako ni wathamani
  1. Biblia takatifu kupitia mtandao

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: