Namshukuru Mungu

Namshuru Mungu

Namshukuru Mungu Kwa Kuruhusu CHANGAMOTO, DHIKI NA MATATIZO Kwenye Maisha Ya Watoto Wake, Maana Hayo YANAWALAZIMISHA Kumtafuta Mungu!
Kama Sasa Hivi Unapitia Nyakati Ngumu Au Mambo Mazito Lakini Hata Kuomba Nusu Saa Kwa Siku Ni Kazi, Sipati Picha Kama Kila Kitu Kingekuwa Sawa Maishani Mwetu; Hata Kufikiri Kuhusu Mungu Nadhani Ingekuwa Muujiza!
Kama Mambo Yangekuwa Safi, Wengi Wetu Wasingekuwa Na Hata Sekunde Na Mungu, Lakini Kupitia MAZITO WALIYONAYO Wamejikuta WANAOMBA, WANAFUNGA, WANAKWENDA KANISANI, WANAFUATILIA MAFUNDISHO MBALIMBALI Nakadhalika!
Kabla Mungu Hajakuamini Na Kukufungulia Milango Mikubwa Kwenye MAISHA Lazima Kwanza Ajiridhishe Kuwa MAFANIKIO HAYATAWEZA KUCHUKUA “MUDA WAKE” MAISHANI MWAKO!
Usimtafute Mungu Kwa Sababu Una Matatizo Na Mazito; Bali Mtafute Mungu Kwakuwa Yeye Ni Uzima Na Uhai Wako,
Usimwabudu Mungu Na Kukiri Uzuri Wake Kwa Sababu Unataka AKUWEKEE MAMBO YAKO SAWA; Mwabudu Mungu, Mkiri Yeye Bila Kujali HALI YAKO IKOJE!
Jizoeze Kumpenda, Kumcha Na Kukaa Na Mungu… Sababu Kubwa Ya Wewe Kuomba, Kufunga, Kusifu, Kuabudu, Kutoa Sadaka Nakadhalika Iwe Ni Kwa Sababu “MUNGU NI MKUU, NI MUWEZA NA ANASTAHILI” Na Si Kwa Sababu Unataka “KUMGEUZA MTAJI AU KITEGA UCHUMI”

Sijui Kama Ni Ngumu Hii Au Nyepesi, Mungu Akupe Kuelewa Kilichomo Humu, Mpende Na Kumtafuta Mungu BILA SABABU ZA KUTAKA KUMTUMIA, Bali Kwa Vile Yeye Ni Mungu Na Uzima Wako.

Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com
+255 655 466 675

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: