Wanandoa tu ndo hufanya mapenzi

ANAYETOKA NJE YA NDOA NI MZINZI, NA ANAYEFANYA KABLA YA NDOA NI MWASHERATI; NI DHAMBI NA HATUWEZI KUIPOZA KWA KUIITA “KUFANYA MAPENZI”

wanandoa

Ukiwa Nje Ya Ndoa Usiseme “Nafanya Mapenzi” Bali Sema “Nafanya Dhambi Ya Uasherati Kwa Makusudi Na Kwa Akili Zangu Mwenyewe, Na Niko Tayari Kupata Matokeo Ya Dhambi Hii Hapa Duniani Na Milele Jehanamu”
Ukiwa Ndani Ya Ndoa Na Ukamwacha Mmeo/ Mkeo Ukaenda Kuruka Na Wengine, Usiseme “Nafanya Mapenzi” Bali Sema, “Nafanya Dhambi Ya Uzinzi Kwa Hiari Yangu Mwenyewe, Kwa Makusudi Kabisa, Kwa Utashi Wangu Mwenyewe, Na Niko Tayari Kupokea Mshahara Wangu Hapa Duniani Na Zaidi Jehanamu”
Hatuwezi Kuiita Dhambi “Kufanya Mapenzi”… Wanaofanya Mapenzi Ni Mke Na Mme Tu; Wanatumia Kiuhalali Zawadi Ya Kuwa Wanandoa Na Wapenzi, Wanaonesha Mapenzi Yao Kwa Kushirikishana Hisia Za Miili Yao!
“AZINIYE NA MWANAMKE [ATOKAYE NJE YA NDOA] HANA AKILI KABISA [NI TAHAIRA] MAANA AFANYA JAMBO LITAKALOMWANGAMIZA NAFSI YAKE; ATAPATA JERAHA NA KUVUNJIWA HESHIMA [WAZINZI WOTE HAWANA HESHIMA KWA WANADAMU WALA KWA MUNGU]” (Mithali 6:32).
“BALI WAASHERATI [WANAOFANYA NGONO NJE YA NDOA], WAONGO, WACHAWI, WASIOAMINI, WATUKANAJI NA WOTE WATENDAO YALIYO KAMA HAYO SEHEMU YAO NI KATIKA JEHANAMU YA MOTO”

Mwl. D.C.K
dicoka@rocketmail.com
+255 655 466 675

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: