Wewe unayesoma ujumbe huu

Wewe Unayesoma Ujumbe Huu, Na Haujaokoka Bado; Yesu Anakupenda Sana, Amekwishalipa Gharama Ya Dhambi Zako Msalabani Kwa Damu Yake, Wajibu Wako Ni Kukubali Alichofanya Yesu, Na Kuchukua Uamuzi Wa Kuyatoa Maisha Yako Kwa Yesu!
KITENDO CHA KUSOMA UJUMBE HUU, KWA MAMLAKA YA JINA LA YESU, NAMNYANGANYA SHETANI UWEZA NA MAMLAKA JUU YA ROHO, NAFSI NA MWILI WAKO… KILA NGUVU INAYOKUZUIA USIOKOKE, KILA NGUVU INAYOZUIA USIACHE DHAMBI NAIANGUSHA KWA MIKONO HODARI YA YESU ILIYOMWAGA DAMU MBICHI KWA AJILI YAKO!
KAMA BWANA YESU AISHIVYO, MWAKANI MAJIRA KAMA HAYA, UTAKUWA UMEOKOKA… NINA UHAKIKA NA NINALOSEMA, NITAISHI KUSHUHUDIA WEWE UKIWA UMEOKOKA NA KUWA RAIA WA MBINGUNI!
Kwa Msaada Zaidi Wa Kiroho Pamoja Na Kuokoka Pia,
Nipigie Muda Wowote;
+255 655 466 675
dicoka@rocketmail.com
Mwl D.C.K

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: