Ushuhuda kutoka Kwangu

SIJAANZA LEO KUMTUMIKIA MUNGU; NIMELIPA GHARAMA NA NINALIPA GHARAMA KWENDA NINAKOTAKIWA KUFIKA!

Ni Rahisi Kunihoji Wapi Nilikotokea Au Nimepata Wapi MAMLAKA NA NGUVU YA KUOMBEA WENYE SHIDA NA MATESO; Unaweza Kunisemea Lolote Unalotaka, Lakini Ukweli Ni Kwamba “NIMETOKA MBALI”
Nimeanza Kuomba NGUVU YA MUNGU YA KUPONYA NA KUFUNGUA MAISHA YA WANAOTESEKA TANGU 2005 Nikiwa Kidato Cha Kwanza Shule Ya Wavulana Tabora [Tabora Boys]!
Nikiwa Form 2 Nilikuwa Napita Mahospitalini Kule SEKOU TOURE Mwanza Nikishuhudia Habari Za Yesu Na Kuombea Wagonjwa; Nikiwa Likizo Mkoani Mwanza Kwa Kaka Yangu.
Nikiwa Tabora Boys, Siku Za Shule Nilikuwa Nikitoka KILA JIONI Kwenda HOSPITALI YA MKOA WA TABORA [KITETE HOSPITAL] Kushuhudia Na Kuombea Wagonjwa.
Hata Nilipokuja DIT Kusoma Engineering Nilikuwa Nikienda MUHIMBILI NA MWANANYAMALA Kushuhudia Na Kuombea Wagonjwa.
Kwa Miaka Isiyopungua NIMEJITOA KUOMBA, KUFUNGA, KUTAFUTA SIRI NA MAARIFA YA MUNGU KWA GHARAMA YOYOTE ILI NIWE SULUHISHO!
Ukitaka Kuniamini Na Kupata Nilichopewa KARIBU; Ukitaka KUSHINDANA NA MIMI Kupitia MITAZAMO YAKO YA KIDINI NA KIDHEHEBU Hakika SINA MUDA WA KUJIBIZANA NA WEWE… Najua Gharama Niliyolipa Kuwa Hapa; Na Najua GHARAMA YA KUWA HAPA NA GHARAMA YA KWENDA NINAKOPASWA KUFIKA!
Kwa Leo Nadhani Umepata Cha Kukusaidia Kuhusu Mimi.

Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com
0655 466 675

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in ushuhuda

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: