Injili ya mafanikio

Mimi Ninaamini Katika INJILI YA MAFANIKIO Maana BIBLIA Imesema Wazi Ya Kwamba INJILI YA YESU Inatuingiza Kwenye FAMILIA YA MUNGU ALIYEFANIKIWA…. ILA… Kigezo Kikubwa Ni Hiki, “MAFANIKIO KATIKA UFALME WA MUNGU YANAKUJA KADRI AU SAWASAWA NA VILE UNAVYOFANIKIWA KIROHO”…. Kokote Na Yeyote Anayefundisha Au Kuhubiri INJILI YA MAFANIKIO Bila KUSIMAMIA NA KUSISITIZA “MAFANIKIO YA ROHONI” Yaani “USHINDI DHIDI YA DHAMBI”, “UTAKATIFU”, “KUTAFUTA KWA BIDII KUWA NA AMANI NA WATU WOTE”, “UPENDO KWA NDUGU/ JIRANI UNAYEMWONA KABLA YA MUNGU USIYEMWONA”, “KUISHI KWA IMANI” Nakadhalika Hilo Kanisa Na Huyo Mtumishi NI MHUNI NA MBABAISHAJI TU!
Mafanikio Toka Kwenye UFALME WA MUNGU Yamefungwa Kwenye KIWANGO CHA KIROHO CHA MHUSIKA; Nje Ya Hapo Ni Usanii Na Utapeli… ILA INJILI YA MAFANIKIO NI YA KWELI “KWA MUJIBU WA NENO LA MUNGU” Tatizo Liko Kwa WAZEMBE WACHACHE “WANAOIWASILISHA VIBAYA NA KWA UPOTOFU”..!
“MPENZI NAOMBA UFANIKIWE KATIKA MAMBO YAKO YOTE… NA KUWA NA AFYA YAKO… KAMA ROHO YAKO IFANIKIWAVYO” (3Yoh 1:2).
“HERI MTU YULE ASIYEKWENDA KATIKA SHAURI LA WASIO HAKI, WALA HAKUSIMAMA KATIKA NJIA YA WAKOSAJI, WALA HAKUKETI BARAZANI PA WENYE MIZAHA [HALI YA KIROHO IKO SAFI]… BALI SHERIA YA BWANA NDIYO IMPENDEZAYO, NA SHERIA YAKE HUITAFAKARI MCHANA NA USIKU… ATAKUWA KAMA MTI ULIOPANDWA KANDO YA CHEMCHEMI YA MAJI, UZAAO MATUNDA YAKE KWA WAKATI WAKE… NA KILA ALIFANYALO LITAFANIKIWA” (Zaburi 1:1-3).
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com
+255 655 466 675
+255 753 466 675

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: