KWA WANAOTARAJIA KUOANA

Usiwe Mwoga “KUWEKEZA” Kwa Huyo MTARAJIWA WAKO; Eti Kisa ANAWEZA KUBADILIKA MKAISHIA NJIANI AU LOLOTE LINAWEZA KUTOKEA MKAACHANA… Tujifunze Kwa Yesu Anachofanya “KWA MCHUMBA WAKE- KANISA” Anafanya Bidii Zote KUMFANYA AWE NA TABIA KAMA YAKE; ANAMWONDOLEA MFUMO WOTE HASI, KUTOKUAMINI, MASHAKA, HOFU, KIU YA DHAMBI, KUIPENDA DUNIA Na ANAMJENGEA MFUMO WA MAISHA ULIO SAHIHI: KUISHI KWA IMANI, KUMTEGEMEA NA KUMWAMINI MUNGU NA AHADI ZA NENO LAKE, KUFANYWA UPYA KWA NENO LA UZIMA NA MENGINEYO MEMA KAMA HAYA… Kama Yesu Akisema AACHE KUWEKEZA KWA MAHARUSI WAKE KISA, “WANAWEZA KURUDI TENA KWENYE TOPE NA KUMWACHA” Basi Kunakuwa Hakuna Maana “YA SADAKA YA UPENDO” Aliyokwishaitoa!
Dada Zangu, Kaka Zangu: USIOGOPE KUFANYA JAMBO LA KUMWINUA, KUMJENGA, KUMSAIDIA KIROHO, KIUCHUMI, KIELIMU “MTARAJIWA WAKO” KWA HOFU YA KUTOWEZA KUFIKA NAYE MWISHO… Hata Msipofika Naye Mwisho, “HAWEZI KUFUTA ALAMA YA KILE ULICHOFANYA KWAKE MOYONI DAIMA”…. TUMEUMBWA TUYAGUSE MAISHA YA WENGINE NA KUYAPA THAMANI, IKITOKEA FURSA KAMA HIYO KWA YULE UMPENDAYE ITUMIE; USICHOKE KUPANDA MBEGU NJEMA… Kama Ni Wako Atabaki Mpaka Mwisho, Kma Si Wako Ataondoka Hata Ukifanyaje: ILA ALAMA ULIYOACHA MAISHANI MWAKE ITABAKI KUWA KUMBUKUMBU KWAKE!
“KADRI TUPATAVYO NAFASI, TUSICHOKE KUWATENDEA MEMA WATU WOTE…” (Wagalatia 6:10).
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com
+255 655 466 675
+255 753 466 675

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo, ndoa

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: