MACHO NI YAKO, LAKINI…!

Macho ni yako lakini

Inawezekana Ni Kweli Kwamba “MACHO HAYANA PAZIA” Lakini “YANA KOPE” Na Kila Kinachopita “KWENYE RADA YAKE YANAKINASA” Lakini Wewe Mwenye Macho Ndo Mwenye UAMUZI Wa Aidha KUKIRUHUSU KIINGIE MOYONI MWAKO NA KUZALISHA MAWAZO [MEMA AU MABAYA] Au KUKIPINGA NA KUKIFUTA [KWA MAMLAKA YAKO KATIKA KRISTO; 2Kor 10:3-5]!
Mungu Amekupa JUKUMU LA KUKAGUA KILA KINACHOINGIA MOYONI MWAKO; Ili SHETANI ASIJE AKAPITISHA SUMU ITAKAYOKUMALIZA Kupitia MILANGO YA MACHO NA MASIKIO YAKO…. Lolote Litakalopata Nafasi MOYONI MWAKO Ni Matokeo Ya UAMUZI WAKO Na UNAWAJIBIKA Kwa Ajili Ya Hilo MBELE ZA MUNGU NA WANADAMU!
TUKUBALI UWAJIBIKAJI, NA “TUSIMPE IBILISI NAFASI” (Waefeso 4:27).
Yesu Anasema, “TAA YA MWILI WA MTU NI MACHO; MACHO YAKO YAKIWA SAFI [UKIWEKA CHUJIO LA KIROHO KWENYE KILA UNACHOKIONA] NA MWILI WOTE UTAKUWA SAFI PIA”
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com
+255 466 675
+255 466 675

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: