Ni Ngumu Sana K…

Ni Ngumu Sana Kwa ANAYETAFUTA MAISHA Kufanikiwa Kwenye Maisha

UKWELI WA MAMBO

“Ni Ngumu Sana Kwa ANAYETAFUTA MAISHA Kufanikiwa Kwenye Maisha; Ila Ni Rahisi Sana KWA MWENYE MAISHA ANAYEISHI Kustawi Na Kuyafaidi Maisha…. UNAPOTEZA MUDA KUTAFUTA MAISHA BADALA YA KUISHI MAISHA AMBAYO TAYARI MUNGU AMEKUPA; NI UPOTEZAJI WA RASIRIMALI KUBWA KULIKO ZOTE”
Salam Kwa Wote “WANAOTAFUTA MAISHA”
“Maana Yako Matumaini Kwake Yeye Aendaye Na Walio Hai (Maana NI AFADHALI MBWA ALIYE HAI KULIKO SIMBA ALIYEKUFA” (Mhubiri 9:4).
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Error: Twitter did not respond. Please wait a few minutes and refresh this page.

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: