SHETANI NA WEWE, VITA NI RAHISI SIKU ZOTE..!

Shetani Anasema “SHUSHA VIWANGO, GEUZA MAWE YAWE MIKATE” Jibu Ni Rahisi, “SITAUZA HAKI YANGU YA MZALIWA WA KWANZA KWA AJILI YA DENGU KAMA ESAU… MTU HATAISHI KWA MKATE TU BALI KWA KILA NENO LITOKALO KINYWANI MWA MUNGU”
Mungu Uliyembeba Anaweza Kukupa MIKATE NA DENGU MPAKA UCHOKE NA KUKINAI Ila Ni Endapo Utaamua KUIAMINI RIPOTI YA NENO LAKE KULIKO KINGINE CHOCHOTE; UKIMHESHIMU NAYE ATAKUHESHIMU… ISHI KAMA BALOZI WA SERIKALI YA MBINGUNI NA KAA KWENYE VIWANGO VYA SERIKALI YA MBINGUNI BILA KUJALI “UHALISI” WA UGUMU UNAOPITIA… MUNGU ANAWEZA KUONEKANA”KAMA ANACHELEWA” LAKINI LAZIMA ATATOKEA KATIKA “DAKIKA YAKO YA MWISHO WA IMANI” NA ATAKUTOA KATIKA UGUMU WAKO!
-Alionekana Kama Amechelewa Kwa IBRAHIMU NA SARA Lakini ALITOKEA NA KUWAPA ISAKA UZEENI
-Alionekana Kama Kama Amechelewa Kwa YUSUFU Hadi AKAUZWA MISRI, AKASINGIZIWA NA MKE WA POTIFA NA KWENDA GEREZANI Lakini MUNGU ALITOKEA NDANI YA MUDA MWAFAKA NA KUGEUZA HISTORIA YAKE
-AlionekanaKAMA AMEMWACHA YAKOBOKULE NYUMBANI KWA LABANI, AKAFANYIWA DHULUMA NYINGI Lakini ALITOKEA NDANI YA MUDA SAHIHI NA KUGEUZA MWISHO WAKE, AKAWA BORA KULIKO MWAJIRI WAKE
-Alionekana Kama AMEZIDIWA NA GOLIATI; MFILISTI AKATAMBA KWA SIKU 40 MFULULIZO Lakini MUNGU ALITOKEA NDANI YA MUDA MWAFAKA “KUPITIA DAUDI NA KUKIKATA KICHWA CHAKE” NA KUWAPA RAHA ISRAELI WAKE
-Alionekana Kama AMECHELEWA YESU ALIPOKAMATWA, ALIPOTESWA, ALIPOTEMEWA MATE, ALIPOPIGWA MIJEREDI, ALIPOVIKWA TAJI YA MIIBA, ALIPOHUKUMIWA ISIVYO HAKI NA KUPELEKWA KUSULUBIWA, ALIPOPIGILIWA MISUMARI, ALIPOKATA ROHO, ALIPOCHOMWA NA MKUKI UBAVUNI, ALIPOKAA KABURINI SIKU TATU Lakini ALITOKEA SIKU YA TATU NA KUMFUFUA TOKA KWA WAFU NA KUMPA MAMLAKA YOTE MBINGUNI NA DUNIANI…
Mwamini Mungu,
Maisha Yako Yako Mikononi Mwa Mungu,
Amekuchora Viganjani Mwake,
Yuko Nawe Siku Zote Hata Ukamilifu Wa Maisha Yako,
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com
+255 655 466 675
+255 753 466 675

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo
2 comments on “SHETANI NA WEWE, VITA NI RAHISI SIKU ZOTE..!
  1. Mtumishi nimebarikiwa na ujumbe.umeendelea kunitia nguvu na kunifanya imara zaidi.

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: