NI MUHIMU UJUE HILI

Kwenye MLANGO WA MOYO WAKO Kuna WAGENI WAWILI WANAOGONGA [KILA SEKUNDE YA MAISHA YAKO] Wakitarajia UWAFUNGULIE AU USIWAFUNGULIE Kutokana Na MAAMUZI YAKO, Lakini Pia Tokana Na UELEWA WA SAUTI ZA HAO WAGENI Pamoja Na Uamuzi Wako Wa YUPI AINGIE…. KWENYE MLANGO WA MOYO WAKO Kuna:

-DHAMBI INAKUOTEA MLANGONI, WALAKINI YAKUPASA UISHINDE
“BWANA Akamwambia Kaini, Kwanini Una Gadhabu? Na Kwanini Uso Wako Umekunjamana? Kama Ukitenda Vyema Hutapata Kibali?Usipotenda Vyema DHAMBI IKO, INAKUOTEA MLANGONI, NAYO INAKUTAMANI WEWE, WALAKINI YAPASA UISHINDE” (Mwanzo 4:6-8).

-YESU YUKO KWENYE MLANGO ANABISHA
“Tazama, [MIMI YESU] NASIMAMA MLANGONI, NABISHA: Mtu AKIISIKIA SAUTI YANGU, NA KUUFUNGUA MLANGO, NITAINGIA KWAKE; Nami Nitakula Pamoja Naye, Na Yeye Pamoja Nami” (Ufunuo 3:20).

UAMUZI WA KUIFUNGULIA DHAMBI MLANGO AU YESU NI WAKO; LAKINI NI MUHIMU SANA UJUE KUWA “USIPOMFUNGULIA YESU MLANGO LAZIMA UTAIFUNGULIA DHAMBI MLANGO”

Hivyo Basi, “LINDA SANA MOYO WAKO KULIKO YOTE UYALINDAYO…” (Mithali 4:23).

Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com
+255 655 466 675
+255 753 466 675

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with:
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: