Shetani Yuko kwenye Kifungo

Ni Kweli Kabisa Kwamba “SHETANI YUKO KWENYE KIFUNGO KUZIMU AKISUBIRI HUKUMU YAKE NA MALAIKA ZAKE WAASI” (Yuda 1:6) Lakini FIKIRA ZAKE NA MATENDO YAKE YA KUCHINJA, KUIBA NA KUHARIBU (Yohana 10:10) Yako Duniani Sasa KUPITIA WANA WA UASI (Waefeso 2:2) Kama Vile FIKIRA NA MATENDO YA MUNGU Yalivyo Hapa Duniani Kupitia WATU WAKE WALIOJAA ROHO WAKE Japokuwa YESU YUKO MBINGUNI AKIANDAA MAKAO!
“WANA WA MUNGU NI DHAHIRI NA WANA WA IBILISI PIA NI DHAHIRI…. ATENDAYE DHAMBI NI WA IBILISI; NA KILA ALIYEZALIWA NA MUNGU HATENDI DHAMBI, BALI HUJILINDA NA YULE MWOVU HAMGUSI” (1Yohana 3:10,8, 1Yohana 5:18).
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: