KWA WENYE NDOA NA WATARAJIAO KWENDA HUKO

Kuna Njia Kadhaa Rahisi Za Kukusaidia KUBADILI MME/ MKE ULIYEMCHOKA:

1)-UFE

Ukifa Unakuwa UMEMALIZA MKATABA NAYE Maana Huko Mbinguni Au JEHANAMU HAKUNA KUOA WALA KUOLEWA… Je Utakuwa Tayari Kufa ILI KUKWEPA MME/ MKE ULIYEMCHOKA???

2)-AFE

Kama MMEO/ MKEO Akifa MKATABA NAO UMEISHA Kama Ilivyo Kwa Namba 1… Lakini Je, ANAKUFA LINI? Kazi Ipo.

3)- UKUBALI UKWELI KWAMBA HUYO NDO MME/ MKE ULIYEMCHAGUA

Kubali Kwamba Kwa AKILI ZAKO TIMAMU, KWA MAPENZI YAKO MWENYEWE “BILA KUSHURUTISHWA” Uliamua Kuwa Na Huyo MME/MKE… Halafu Pia Kubali Ukweli Kwamba, “HAUNA RUHUSA YA KUMWACHA KWA CHOCHOTE MPAKA KIFO KIWATENGANISHE”…. Usisahau Ukweli Pia Ya Kwamba, “WAKATI MNAOANA, HUYO KAKA/ DADA ALIKUWA BORA KULIKO WENGINE WOTE [KWA MUJIBU WA VIGEZO VYAKO] NA NDIO MAANA ULIMCHAGUA” Hii Itakusaidia KUKUBALI CHANGAMOTO, Lakini Pia ITAKUSAIDIA “KUFUATILIA KILE CHEMA/ YALE MEMA/ MAZURI ULIYOONA NDANI YAKE NA YAKAKUSUKUMA KUWA NAYE KATIKA NDOA” Na Itakuwa Rahisi Kwako KUKAA NAYE; KUKUMBUSHANA, KUELIMISHANA, KUSHAURIANA, KUELEKEZANA, KUOMBEANA NAKADHALIKA, MAANA UNAJUA “NINI KIMEPUNGUA” AU “NINI ALICHONACHO AMBACHO UNATARAJIA AU ULITARAJIA KUKIONA” Ambacho “MKIKIFANYIA KAZI KWA PAMOJA KITAIJENGA NA KUISIMAMISHA NDOA YENU TENA”….. Unajua, KILA MTU ANA WEMA NDANI YAKE MAANA ANAIBEBA “ASILI YA MUNGU [SURA NA MFANO WAKE]” NA HEKIMA YA MUNGU IKITUMIKA, MTU YEYOTE ANAWEZA KUBADILIKA NA KUWA BARAKA!

Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com
+255 655 466 675
+255 753 466 675

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo, ndoa

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: