MTEGO WA PANYA

mtego wa panya

Unajua MTEGO WA PANYA Umetengenezwa Kwa Namna Ambayo UNAFYATUKA NA KUNASA “KILA KINACHOGUSA KIFYATULIO CHAKE” Bila Kujali Kama NI PANYA AU LA…. Ndivyo Zilivyo KANUNI ZA ROHONI… Zinaweza KUFYATUKA NA KUMNASA YEYOTE ATAKAYEZIPATIA Bila Kujali AMEOKOKA Au La..!
Mfano Kanuni Ya Kupanda Na Kuvuna Ni Kanuni Ya Rohoni; Mungu Ameweka MAJIRA YA KUPANDA NA KUVUNA; Yeyote Anayepanda HATA KAMA HAJAOKOKA, KAMA NI KIPINDI CHA KUPANDA, LAZIMA ATAVUNA!
Mfano Swala La Uzazi: Ni Kanuni Ya Rohoni; Mungu Ameweka Kanuni Kwamba WATAKAPOKUTANA MWANAUME NA MWANAMKE [Katika Mazingira Yanayoruhusu Mimba] Lazima UZAZI UTATOKEA!
Ndivyo Ilivyo Hata Kwa Kanuni YA UTOAJI; Inafanya Kazi kwa Kila Mtu HATA KAMA HAJAOKOKA; AKITOA KWA UKARIMU [AKIPANDA KWA UKARIMU] Lazima ATABARIKIWA TU (Wagalatia 6), Maana Mungu Anaangalia DHUMUNI/ MAKUSUDI YA MTOAJI (Intention) KISHA BARAKA AU LAANA INAFUATA; KORNELIO HAKUWA AMEOKOKA, MWANAMKE KAHABA ALIYETOA MARHAMU NZURI KWA YESU HAKUWA AMEOKOKA, MWANAMKE MSHUNAMI ALIYEMJENGEA NABII ELISHA CHUMBA HAKUWA AMEOKOKA, MWANAMKE MJANE WA SAREPTA ALIYEMLISHA NABII ELIYA NA KUTUNZWA NA MUNGU KWA MUUJIZA MIAKA 3 NA NUSU YA NJAA HAKUWA AMEOKOKA, LAKINI SADAKA YAO NA MIOYO YAO VILIKUBALIKA KWA MUNGU…. KANUNI ZA ROHONI ZINAMZALIA MATUNDA MTU YEYOTE, ILIMRADI AMEPATIA NA ZINAMHUKUMU YEYOTE ILIMRADI AMEKOSEA!

Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com
+255 753 466 675
+255 655 466 675

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: