SHULE YA WATU WAZIMA

Mtu Yeyote Anayefanya Kazi Kwa BIDII, Kwa Kuzingatia MISINGI YA HAKI, Kwa Kusimamia KWELI, Na Kudumu Kwenye UAMINIFU LAZIMA AFANIKIWE NA KUWA NA MAISHA BORA Hata Kama HAJAOKOKA… BIDII, HAKI, UKWELI NA UAMINIFU NI KANUNI ZA ROHONI AMBAZO ZINAFANYA KAZI KWA YEYOTE, BILA KUJALI AMEOKOKA AU LA… Kanuni Za Rohoni Zina Tabia Ya Kumheshimu Kila Anayezitendea Kazi Bila Kujali HALI YAKE YA KIROHO…. Kama Unadhani Nakutania, Kamuulize KAHABA RAHABU, RUTHU MKWEWE NAOMI, MWANAMKE MKANANAYO, AKIDA WA KIRUMI ALIYEKUJA KUOMBA UPONYAJI WA MTUMWA WAKE, KORNELIO Nakadhalika…. Wote Hawa WALIPATA MATOKEO (MIUJIZA) Pale Walipopatia KANUNI ZA KIROHO Bila Kujali HALI ZAO ZA KIROHO!
Namshukuru Mungu, Nimerudi Salama Dar.
Asante Kwa Upendo Wako Kwangu Na Asante Kwa Maombi Yako,
Mungu Azidi Kukutendea Mema.
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com
+255 655 466 675
+255 753 466 675

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Posted in Mafunzo
3 comments on “SHULE YA WATU WAZIMA

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Error: Twitter did not respond. Please wait a few minutes and refresh this page.

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: