Akili

akili

akili nyingi

Akili Nyingi Za Maisha Bila Akili Nyingi Za Rohoni Ni Sawa Na Mtu Anayetegemea Kupaa Hewani Bila Kutafuta KANI KUBWA Kuliko KANI MVUTANO… Ni Sawa Na Mjinga Mmoja Aliyesonga Ugali Na Kuanza Kula Kwa KITOWEO Cha KUKU ALIYECHORWA KWENYE KARATASI!
“FAHAMU MANENO HAYA NISEMAYO; KWA MAANA BWANA ATAKUPA AKILI KATIKA MAMBO YAKO YOTE” (2Timotheo 2:7).
“LAKINI IMO ROHO NDANI YA MTU NA PUMZI ZA MWENYEZI HUWAPA AKILI” (Ayubu 32:8).
Mwl D.C.K

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo
One comment on “Akili
  1. Elisha says:

    Ubarikiwe na Bwana, usichoke kunitumia ujumbe kila mara.

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: