KANUNI YA UCHUMI, USIMAMIZI NA UONGOZI

kanuni za Uchumi

Uchumi

“Akawaambia Mfano huu, akisema, Ni nani kati yenu MWENYE KONDOO MIA, Akipotewa na KONDOO MMOJAWAPO, Asiyewaacha wale TISINI NA KENDA Nyikani aende AKAMTAFUTE YULE ALIYEPOTEA HATA AMWONE?” (Luka 15:3-4).
Hii Ni Kanuni Ya Uchumi, Kondoo Mmoja Kati Ya Kondoo Mia Moja Ni Asilimia Moja Ya Mali Nzima.
Ni Watu Wachache Sana Kwenye Ulimwengu Wa UCHUMI Ambao KWENYE HESABU ZAO Wakikuta Kuna UPUNGUFU WA ASILIMIA MOJA (1%) HAWATATULIA Bali WATATAFUTA Mpaka WAJUE Imekuwaje KUKAWA NA UPUNGUFU HUO!!!
Wa-Tanzania Wenzangu Mtu Akija Na Mfumo Huu, Watasema NI BAHILI SANA Lakini YESU KRISTO Anafundisha Na Kutuonyesha UMUHIMU WA 1% Katika 100% Za Chochote Unachofanya!
YESU ANATAKA TUWE MAKINI KWENYE MASWALA YA UCHUMI NA USIMAMIZI WA FEDHA Kiasi Kwamba KILA UNAPOGUNDUA Kuna SHORT [UPUNGUFU] Wa 1% usikubali kutulia Mpaka UJUE NINI KIMETOKEA MPAKA HIYO 1% Ikawa Haionekani!!!
KAMA UNAFANYA BIASHARA AU SHUGHULI YA UZALISHAJI NA “HAUJALI PESA NA MALI YAKO” KWA KIWANGO HIKI ANACHOFUNDISHA YESU Hakika KUFANIKIWA KWAKO HAKUTAKUWA KAMA “YESU ALIVYOKUSUDIA” Au “HAUTAFANIKIWA KABISA”… Iheshimu Na Kuithamini 1% YA MTAJI WAKO KAMA UNAVYOITHAMINI 100% KAMA UNATAKA KUFANIKIWA KIUCHUMI!
SI MIMI NILIYESEMA, NI YESU KRISTO AMESEMA!!!
Usiku Mwema.
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com
+255 655 466 675
+255 753 466 675

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: