Lugha ya Mungu

Lugha ya mungu

Lugha ya Mungu

Lugha Ya Mungu Ni “YAACHE MAGUGU YAKUE PAMOJA NA NGANO, HALAFU WAKATI WA KUVUNA YATAJULIKANA WAZIWAZI; BADALA YA KUKUSANYWA GHALANI YATATUPWA KWENYE TANURU YA MOTO”
Mara Nyingi Inashangaza “WASIO HAKI WANASTAWI NA KUWA NA MAISHA MAZURI KULIKO WENYE HAKI” Kana Kwamba “MUNGU HAONI HALI HALISI AU HAJISHUGHULISHI NA WENYE HAKI” Lakini Huwa Kuna Kipindi Kinaitwa “WAKATI WA MAVUNO” Kipindi Ambapo “NGANO HUPATA HESHIMA” Na “MAGUGU HUTUPWA MOTONI” Baada Ya “KUTAMBA MSIMU MZIMA KATIKATI YA NGANO” Kinafika Kipindi “CHA MAVUNO” Ambapo “THAMANI HALISI YA NGANO INAONEKANA NA MAGUGU YANATEKETEA NA KUPOTEA MILELE”
Biblia Inasema, “KUFANIKIWA KWA ASIYE HAKI NI KWA UANGAMIVU WAKE MWENYEWE” Na Pia Inasema, “USIMHUSUDU MTU MWOVU ANAPOFANIKIWA MAANA KATIKA HUKO KUNA KUANGAMIA KWAKE”
“WAAMBIE WENYE HAKI YA KWAMBA WATAKUWA HERI MAANA WATAKULA MATUNDA YA MATENDO YAO” (Isaya 3:10).
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com
+255 753 466 675
+255 655 466 675

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: