Msaada kwako Kijana

Msaada kwako kijana

Kijana

Na Brother Gama Daniel Mwasumbi

Nawaandikia sana vijana kwasababu wana Nguvu,na Lengo kubwa la shetani ni kuwadhoofisha kimwili na Kiroho.Asilimia kubwa sana Leo Makanisani tuna vijana wengi ambao wanatamani sana kuishi maisha matakatifu ila kuna maeneo shetani Ameyashika na wanaishi vuguvugu.
Ni waimbaji wazuri,wahubiri wazuri na ikikitokea swala la Mission ya kuepeleka injili Sehemu wako mstari wa mbele,lakini mengi wayatendayo sirini MUNGU hapendezwi nayo.Swala kuu ambalo linawatesa wengi ni Uzinzi Uongo, na kutamani mafanikio ya kifedha sana kiasi kwamba njia nyingi tunazojipatia kipato hivi leo zimekaa kisanii sana Pamoja na kwamba tunatoa Matoleo kanisani.Ni KWELI tu ndio itakayo tuweka HURU Vijana wenzangu.Kwa mfano huu Uboy friend na Girlfriend most of the time tunaanguka dhambini kwasababu Si mpango wa Mungu.Tusiruhusu UPWEKE tulionao ukatufarakanisha na MUNGU kwa Kumtenda Dhambi.Sio kwasababu Umeona mpendwa fulani anafanya basi na wewe uhalalishe Dhambi,HAPANA.
Kama unampenda MUNGU na unatamani kuishi maisha ya ujana ya kumpendeza yeye na umejaribu sana kwa nguvu zako lakini bado huoni kufanikiwa kwenye Swala zima la TAMAA ZA MWILI na unahitaji MUNGU ashughulike nawe in PERSONAL!?
Inbox me Kuna dawa MUNGU amenipa itakusaidia but only kama uko Willing na umechoka na hayo Maisha.MUNGU ni mwaminifu kama ameniponya I believe atafanya kwako pia.GOD Bless y’all

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo
2 comments on “Msaada kwako Kijana
  1. Somo zuri na litawasaidia sana vijana bt kama unataka kuwasaidia zaidi weka hiyo cri hadharani ili wengi wapone.neno la Mungu linanguvu unapolipanda kwa m2 leo litaota kesho.

  2. kaijage says:

    ujumbe ni mzuri sana wa kutusaidia sisi vijana

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: