Mafanikio unayo Mkononi mwako

Mafanikio Mkononi mwako

Mafanikio Mkononi mwako

Huwezi kupata nafasi ya kutafsiri ndoto ya mfalme, kama hautumii vizuri nafasi ya kutafsiri ndoto ya mfungwa mwenzako. (Rejea habari ya Yusufu)

Dare to start small, it’s the only way to becoming big
BIG = small + small + small + small + small + …..
Emmanuel Mahenge

Nami Niongezee Haya:
Daudi Hauwezi Kuaminiwa Na Mungu KUKATA KICHWA CHA GOLIATI Kabla Haujaonesha UAMINIFU NA UBORA Kwenye Kukata VICHWA VYA SIMBA NA DUBU.
Uaminifu Na Ubora Unaouonesha KWENYE MADOGO Unatuambia WENYE HEKIMA Ya Kwamba Hata Tukikupa KIKUBWA Utatumia KANUNI ZILEZILE [But In Large Scale] KULETA MATOKEO YA MAANA Kama Tuliyoona Kwako ULIPOKUWA KATIKA MADOGO!
Yesu Anasema, “ATAKAYEKUWA MWAMINIFU NA BORA KATIKA MADOGO ATAPEWA MAKUBWA”
Heshimu Hicho Kidogo Unachofanya Sasa… Kabla Mungu Hajakupa KAMPUNI YAKO, BIASHARA YAKO Nakadhalika ATAPIMA UAMINIFU WAKO NA UBORA WAKO KWENYE MALI YA SERIKALI, KAMPUNI AU SHIRIKA UNALOFANYIA KAZI… Kama HAUFANYI KWA UBORA WOTE, HAUTAKUJA KUWA NA CHAKO!
Yesu Anauliza Swali Katika LUKA 16:12, ” KAMA NINYI HAMKUWA WAAMINIFU KWA MALI YA MTU MWINGINE, NI NANI ATAKAYEWAPA MALI YENU WENYEWE?”

Kazi Ni Kwako
Destiny Yako Iko Mikononi Mwako,
Kila Kanuni Unayoivunja Leo Itakuvunja Kesho,
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com
+255 655 466 675

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo
One comment on “Mafanikio unayo Mkononi mwako
  1. Mwalimu lugendo says:

    True

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: