NIKUULIZE SWALI???


Kama Ungekuwa Na Pesa Yote Unayohitaji, Una Kila Rasilimali Unayohitaji, Una Kila Kitu Unachohitaji, UNGEFANYA NINI?? [Tafakari Kwa Dakika Moja Walau]
Usinijibu, Kaa Na Jibu Lako…
Hicho Kilichokujia Ndani Yako Baada Ya Kuweka Pembeni Vizuizi Na Changamoto, Ndicho Mungu Amekuumba Ukifanye Na Kukionesha Duniani… Shetani Kupitia Mifumo Ya Maisha Ya Dunia Hii Amewaaminisha Watu Kwamba BILA PESA HAKUNA LINALOWEZEKANA Na Wengi Wameamini Huo UONGO Na Wameshindwa Kufanyia Kazi NDOTO ZAO!
“Amka Wewe Usinziaye, Utoke Katika Wafu, Na KRISTO YESU ATAKUANGAZA” (Waefeso 5:14).
HAKIKA MUNGU AMENIFANYA KUWA BORA KWA WINGI WA HEKIMA YAKE,
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo
2 comments on “NIKUULIZE SWALI???
  1. fred says:

    kwa kweli hii tovuti nimeipenda na pia mafundisho yake yanagusa sana maisha ya kiroho ya mwanadamu…hapa cha muimu sana ni kugundua hila za shetani katika maisha yetu tunayoishi kila siku na kamwe tusikubali maangaiko ya dunia hii yatutenge na kutuweka mbali na MUNGUna kuaribu uhusiano tulionao na BWANA YESU. na ndio maana Bwana alisema wale wote waanaongozwa na Roho hao ndio wana wa Mungu kwa hiyo ebu jihoji utapata jibu na ndipo utajua upo upande upi na ukigundua ni vyema kwenda upande unaostaili kwenda. Bwana Mungu alieziumba mbingu na nchi awaifadhi salama.Amen

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
  • None
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: