Unachoandika facebook

Hivi Unachoandika  Facebook Kinaweza Kutumika KAMA NOTISI, DARASA AU MSAADA Kwa Miaka Mitano, Kumi, Ishirini Ijayo?
Kinaweza Kutumika Kama MBEGU YA KUINUA MAISHA YA MTU Atakayekuja Duniani Miaka Kadhaa Ijayo… Sina Uhakika Sana Na Hilo!
TATIZO WENGI WETU [MIMI SIMO HUMU] MNAPENDA SANA KUFANYA, KUWAZA, KUSEMA VITU AMBAVYO HAVINA FAIDA YA KUDUMU… MNARUHUSU MAISHA YENU YATATIZWE NA HALI MNAZOPITIA, MAGUMU YANAYOWAZUNGUKA NA HATIMAYE MNAACHILIA NA KUPITISHA VITU VISIVYO NA MANUFAA YA KUDUMU!
Mungu Akusaidie, Kabla Haujaandika Chochote Hapa Uwaze UTAGUSAJE AU UTAGEUZAJE MAISHA YA WATU LEO NA KESHO… Kwa Kila Ujumbe Unaoandika Hapa, UNAANDIKA HISTORIA YAKO YA KESHO!
Hekima Ina Nguvu Kuliko Pesa, Umri Mkubwa, Elimu Kubwa Ya Darasani,
Mwenye Hekima Anao Ulinzi Wa maisha Yake Ya Sasa Na Ya Kesho!
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Error: Twitter did not respond. Please wait a few minutes and refresh this page.

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: