Mambo Saba

saba

mambo saba

MAMBO SABA AMBAYO YESU [MWANAKONDOO ALIYECHINJWA] AMEYAPOKEA KWA AJILI YAKO, NA NI YAKO KWENYE MAISHA YA SASA HAPA DUNIANI NA MILELE MBINGUNI:
1.Uweza [Power]
2.Utajiri [Riches]
3.Hekima [Wisdom]
4.Nguvu [Strength]
5.Heshima [Honor]
6.Glory [Utukufu]
7.Baraka [Blessings]
Chanzo: Ufunuo 5:12
Yesu Amekununua Kwa Damu Yake Na Kukufanya Uwe MFALME NA KUHANI, Ili UTAWALE DUNIANI Kwa Niaba Ya MUNGU BABA[Ufunuo 5:9]
Na Hakuna MFALME Anayeweza KUTAWALA HAPA DUNIANI [JUU YA NCHI] Bila Haya Mambo Saba… Jikague Uone Ni Lipi Au Ni Yapi Kati Ya Haya HAYAONEKANI Kwenye Maisha Yako WEWE ULIYEOKOKA Na UMLINGANE MUNGU [Kama Yabezi] Mpaka Uanze Kutembea Kwenye Mambo Yote Haya Saba, Ambayo DAMU YA YESU Imekupa UHALALI KISHERIA KUYAISHI KAMA MFALME UNAYETAWALA DUNIANI KWA NIABA YA UFALME WA MUNGU!!!

Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com
+255 655 466 675
+255 753 466 675

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: