NINATAMKA NA KUTANGAZA KWA MAMLAKA NA NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU!

African man reading the Bible in a church, Paris, France, EuropeNeno La Mungu Ni Mamlaka Isiyojua Mipaka,
Na Kama Mtumishi Wa Mungu Aliye Hai, Ninatamka Yafuatayo Kwako kwa NGUVU YA NENO LA MUNGU:
-Kila Mwamba Wako [Ugumu Unaoupitia] UTOE MAJI Yatakayokomesha Kiu Yako Kama Ilivyokuwa Kwa Waisraeli Jangwani
-Kila Lililoinuka Kinyume Chako KAMA SIMBA KUKUMALIZA, Upate Neema Ya KULIUA NA KUPATA ASALI [MEMA NA BARAKA] NDANI YAKE Kama Ilivyokuwa Kwa Samsoni Kule Timna
-Kila Goliath Aliyesimama Mbele Yako, Anayekutukana Wewe Na Mungu Wako Unayemwabudu Kwa Uaminifu, AWE NGAZI YA WEWE KUINGIA MSIMU MPYA UTAKAOKOMESHA UTUMWA WAKO NA WA WATU WA NYUMBA YAKO
-Kila NYANGUMI Aliyekumeza AWE CHOMBO CHAKO CHA USAFIRI MPAKA MAHALI PAKO PA USTAWI ALIPOKUKUSUDIA MUNGU Kama Ilivyokuwa Kwa Nabii Yona
-Kila GEREZA ULILOMO Na Limekukatisha Tamaa Na UMECHOKA KUOMBA Kama Petro, Mungu AKUINULIE WATU WATAKAOKUOMBEA KWA MZIGO Mpaka MALAIKA WATAKAPOKUTOA Kabla Ya Asubuhi Aliyoikusudia ADUI KUKUNYONGA
-Katika Kila CHANGAMOTO NA MAGUMU Unayopitia Ni Maombi Yangu Kwa BWANA Upewe MOYO WA SIFA NA SHUKURANI NA MAOMBI Mpaka MILANGO YA GEREZA ITETEMEKE, IFUNGUKE NA UWE HURU Kama Ilivyokuwa Kwa PAULO NA SILA!
-Mungu Akupe KICHEKO Baada Ya MAOMBI YA MUDA MREFU YA KUMNGOJA ISAKA WAKO Kama Alivyomkumbuka SARA… MWAKANI MAJIRA KAMA HAYA, MAISHA YAKO YAWE YAMEGEUKA, NA KUKUPA KICHEKO

Yachukue Maneno Haya Yafanye Yako Na Wiki Hii, Mwezi Huu, Mwaka Huu Hautaisha Bila Kuwa Na Ushuhuda!
“YOTE YATAPITA LAKINI MANENO YA KRISTO YESU YATASIMAMA MILELE”
“KAMA MVUA ISHUKAVYO TOKA MBINGUNI NA KUINYESHEA NCHI, NA KUICHIPUSHA, NA KUMPA MBEGU APANDAYE NA CHAKULA ALAYE; NDIVYO LILIVYO NENO LA MUNGU LITOKALO KINYWANI MWAKE, HALIWEZI KURUDI BURE, LINATIMIZA KILA ALICHOLIAGIZA KUTIMIZA”
“MTU HATAISHI KWA MKATE TU, BALI KWA KILA NENO LITOKALO KINYWANI MWA MUNGU”

Na Kama Unaamini ROHO WA MUNGU YUKO HAI NA HALISI NDANI YANGU; Maisha Yako Yamegeuka Tayari… Just Wait And See!
“BELIEVE GOD THAT YOU GET ESTABLISHED, BELIEVE YOU ALSO HIS PROPHETS THAT YOU MAY PROSPER”

NB: Usiache Kutuma Sadaka Yako Kwa Ajili Ya Huduma Ya Injili Pasaka Mkoani Tabora, Tutakuwa Na Timu Ya Wainjilisti 50, Na Itakuwa Kwa Siku 6, Tunahitaji Sana SADAKA YAKO, TABORA KWA YESU.
Tuma Kwa Mhazini, Eng Martha Shitindi [M-PESA: 0754 711 519]

Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com
+255 655 466 675
+255 753 466 675

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
  • None
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: