NIMEMKASIRIKIA SHETANI NA UONGO WAKE [A MUST READ]!!

Unatarajiaje Mimi Nikufundishe Wewe KANUNI ZA KIROHO ZA MAFANIKIO YA KIFEDHA NA KIUCHUMI Halafu Mimi Niwe Masikini???
Maana Huu Ndio Mtazamo Wa Watu Wa Kazazi Hiki Kiovu…. Hawataki WATUMISHI WA MADHABAHUNI WAWE NA MAISHA YA JUU Ilhali Wakitaka WATUMISHI HAOHAO Wafundishe Kuhusu UCHUMI Na KUKWAMUA HALI ZA WASHIRIKA WAO!
Kibiblia, SIRUHUSIWI KUWA MZUNGUMZAJI MZURI WA MADA Ilhali Maisha Yangu Yako Kinyume Na NINACHOKIFUNDISHA!
Hizi INJILI ZA KIHUNI Za “YAFUATE MANENO YANGU ILA MSIFUATE MWENENDO WANGU” Haziko Kwenye BIBLIA!
Biblia Inaeleza Wazi Kwamba “MAMBO AMBAYO YESU ALIANZA KUFANYA NA KUFUNDISHA” Ikiwa Na Maana Kwamba, “ALIFUNDISHA ALICHOKIISHI”
Ninaamini Kwenye MAFANIKIO NA UCHUMI WA JUU SANA WA BIBLIA Ambao NI HAKI YA MKRISTO Kupitia AGANO JIPYA Aliloweka YESU KWA DAMU YAKE, Hivyo NITAKUWA NA MAISHA MAKUBWA SANA KIUCHUMI NA KIFEDHA Ili NIWE MWALIMU WA MFANO NA KUDHIHIRISHA KWAMBA “NENO LA MUNGU NI KWELI” Lakini Pia ILI NIWE BARAKA KWA WASIO NA MAJIBU YA KIUCHUMI [Niwe Baba Wa Yatima, Mme Wa Wajane, Mlipa Ada Wa Wasio Na Wasomeshaji, Na Jibu La Wahitaji] KAMA ALIVYO BABA YANGU WA MBINGUNI!!!
ISIKUSHANGAZE KWANINI NITAKUWA TAJIRI; NINAZIJUA KANUNI ZA UFALME WA MUNGU KUHUSU UCHUMI, LAKINI PIA NAJUA KWANINI MUNGU ATANIFANYA TAJIRI MKUBWA SANA KAMA “WATUMISHI [MAKUHANI]” WENGINE AKINA DAUDI, IBRAHIMU, AYUBU Nakadhalika!
Kuwa Tajiri Si Bahati Wala Haihitaji FUNGU LA KUMI LA WASHIRIKA Au MBEGU ZAO… Upako Unaoweza Kumtajirisha Mshirika Wa Kawaida Akitembea Kwenye Kanuni Za Kimbingu Za Uchumi Na Za Kawaida Zinazotawala Mzunguko Wa Fedha, Unaweza Kumtajirisha MHUDUMU WA INJILI [Mwalimu, Mwinjilisti, Mchungaji, Mtume, Au Nabii]!
“NGUVU YA KUUPATA UTAJIRI ANAYOITOA MUNGU NI KWA WATU WOTE WENYE AGANO NAYE BILA KUJALI NAFASI ZAO KIHUDUMA” (Kumbukumbu 8:18).

NB: Usiache Kutuma Sadaka Yako Kwa Ajili Ya Huduma Ya Injili Pasaka Mkoani Tabora, Tutakuwa Na Timu Ya Wainjilisti 50, Na Itakuwa Kwa Siku 6, Tunahitaji Sana SADAKA YAKO, TABORA KWA YESU.
Tuma Kwa Mhazini, Eng Martha Shitindi [M-PESA: 0754 711 519]

Shetani Ni Mwongo,
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com
+255 655 466 675
+255 753 466 675

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
  • None
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: