NAMNA YA KUDHIBITI AKILI YAKO NA KUTUNZA AMANI NA FURAHA YAKO!

furaha

furaha

Usichokipinga Na Kukikataa Kina Uhalali Wa Kuendelea Kukaa Na Wewe Au Kukaa Kwenye Maisha Yako!
“Mtiini Mungu MPINGENI SHETANI NAYE ATAWAKIMBIA” (Yakobo 4:7).

Ukimpa Nafasi Shetani Kupitia Unacholisha AKILI YAKO Kupitia MACHO NA MASIKIO YAKO Hakika Atakuvuruga; Umepewa Macho Kuona Na Masikio Kusikia Lakini Umepewa Nguvu Na Uwezo Wa Kimaamuzi Wa Kuamua KIPI KIINGIE MOYONI MWAKO [MTU WAKO WA NDANI] NA KIPI KISIINGIE… Ibilisi Anatumia NAFASI MOJA TU UTAKAYOMPA Kuchinja, Kuharibu Na Kuiba!
“Wala [Kamwe] MSIMPE IBILISI NAFASI” (Waefeso 4:27).
“Mwizi Haji Ila KUIBA, KUCHINJA NA KUHARIBU…” (Yohana 10:10a).

Kila Wazo Baya, Lisilompa Mungu Utukufu, Lenye Dhambi Ndani Yake, Lenye Kupingana Na Neno La Mungu Utakaloliacha Likae Kwenye AKILI YAKO Litakuangusha Wewe Na Litakula IMANI YAKO; Kabla Halijakuwahi, Liwahi Na uliangushe kwa Mamlaka Ya JINA LA YESU!
“TUKIANGUSHA KILA KIJIINUACHO, NA KILA WAZO LILILO KINYUME NA ELIMU YA MUNGU; TUKITIISHA KILA FIKIRA IPATE KUMTII KRISTO” (2Kor 10:3-5).

Usiache Kutuma Sadaka Yako Kwa Ajili Ya Huduma Ya Injili Pasaka Mkoani Tabora, Tutakuwa Na Timu Ya Wainjilisti 50, Na Itakuwa Kwa Siku 6, Tunahitaji Sana SADAKA YAKO, TABORA KWA YESU.
Tuma Kwa Mhazini,
Eng Martha Shitindi
[M-PESA: 0754 711 519]

Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com
+255 655 466 675
+255 753 466 675

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: