Ukiwa nje ya Yesu

Ukiwa Nje Ya Yesu Nitakufundisha Na Kukuhubiria Juu Ya Hatari Ya Kuwa Nje Ya UFALME WA MUNGU Kwa Maisha Yako Ya Sasa Duniani Na Pia Kwa Usalama Wa Umilele Wako… LAKINI Ukishaokoka Na Kuingia Kwenye UFALME WA MUNGU Sitatumia Tena Muda Wangu Kukufundisha Kuhusu Kile Ambacho Tayari UMEKIPATA [Wokovu] Bali Nitakufudnisha SIRI NA MAISHA YA JUU NA YA UBORA YALIYOKO NDANI YA UFALME MPYA ULIOINGIA KUPITIA KRISTO YESU… Wengi Wameshaingia Kwenye UFALME Lakini Wanafundishwa Kilekile Na Mwishowe WANAISHI MAISHA KAMA YA WASIO KWENYE UFALME Maana HAWAJAAMBIWA YALIYOMO Kwenye UFALME MPYA WALIOMO!
“Nalipokuwa Mtoto Nalizungumza Kama Mtoto, Naliwaza Kama Mtoto, Nalitenda Kama Mtoto; Lakini NILIPOKUWA MTU MZIMA, NIMEYABATILISHA MAMBO YOTE YA KITOTO” (1Kor 13:11).
Kuna Wakati Wa Maziwa Na Kuna Wakati Wa Chakula Kigumu!
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,219 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: