KINACHOKUUMIZA, KINAMUUMIZA YESU

KINACHOKUUMIZA, KINAMUUMIZA YESU

“Kila Kinachomuudhi Na Kumuumiza MKRISTO ALIYEOKOKA [KANISA] Kinamuudhi Na Kumuumiza YESU”
Sauli Aliyekuja Kuwa Paulo Alikuwa Anawasumbua Wanafunzi [KANISA] Akiwaua, Akiwapiga Na Kuwatupa Gerezani; Alifanya Hivyo Kwa Muda Mrefu, Lakini ILIONEKANA KAMA YESU AMEKAA KIMYA; Akina STEFANO WAKAUWAWA, YAKOBO [Ndugu Yake Na Yesu] AKAUWAWA Na YESU ALIONEKANA KAMA YUKO KIMYA!
Lakini, Tukisoma MATENDO 9 Tunamuona YESU AKITOKEA NA KUMKAMATA SAULI “MTESI NA MUUDHI WATU WAKE” Huku Akisema Waziwazi, “MIMI NI YESU UNAYENIUDHI” (Mstari wa 4 & 5).
Tunachokiona Na Kujifunza Hapa Ni Hiki, “KILA KINACHOKUTESA WEWE YESU ANAKIONA NA KINAMUUMIZA; NA MUDA SI MREFU ATATOKEA NA KUKI-ARREST NA KUKIKOMESHA”
Haijalishi Ni Ugonjwa, Dhambi, Matatizo Ya Ndoa, Kukosa Mme, Huduma Yako Ina Matatizo, Kazini Kwako Hakuna Amani, Umemaliza Ngazi Nzuri Ya Elimu Na Hauna Kazi [Umetafuta Kazi Wee]… USISAHAU, “HICHO KINACHOKUUDHI KINAMUUDHI YESU, NA MUDA SI MREFU ATATOKEA NA KUWEKA FULL STOP”
Jipe Moyo, “BWANA AMESIKIA NA HAYO MATESO YANAKWENDA KUISHA SASA… SAULI WAKO ANAKWENDA KUPIGWA MWELEKA NA YESU UNAYEMWAMINI”
Changamka, Furahi, Tupa Hilo Vazi [Ulilopewa Kutokana Na Hali Unayopitia] YESU Amesikia; Zimekuja NYAKATI ZA KUBURUDISHWA!!!

Usiache Kutuma Sadaka Yako Kwa Ajili Ya Huduma Ya Injili Pasaka Mkoani Tabora, Tutakuwa Na Timu Ya Wainjilisti 50, Na Itakuwa Kwa Siku 6, Tunahitaji Sana SADAKA YAKO, TABORA KWA YESU.
Tuma Kwa Mhazini,
Eng Martha Shitindi
[M-PESA: 0754 711 519]
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com
+255 655 466 675
+255 753 466 675

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: