SAA YA WOKOVU

Unajua, Kama Haujaokoka Unajua; Kama Hauna Yesu Ndani yako Unajua; Kama Jina Lako Halijaandikwa Kwenye Kitabu Cha Uzima Cha Mwanakondoo Unajua! Kama Huna Uhakika Kama Ukifa Leo Utakwenda Wapi Milele Unajua!
Na Kama Uliokoka Na Ukarudi Tena Dhambini Unajua… Kama Unateseka Na Tabia Au Dhambi Fulani Na Umekwama Kuishinda Mbali Ya Maombi Na Bidii Zako, Pia Unajua!
LEO NI SIKU YAKO KUFUNGULIWA; NI SIKU YAKO KUANZA MAISHA MAPYA; NI SIKU YAKO KUMPA YESU NAFASI MAISHANI MWAKO KAMA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO!
MIMI NITAKUONGOZA NA KUKUELEKEZA NAMNA YA KUANZA SAFARI YA WOKOVU NA NAMNA YA KUDUMU KUWA MTAKATIFU NA MSHINDI NDANI YA YESU KILA SIKU!
Kama Umesoma Ujumbe Huu, Na Mungu Anakusemesha Moyoni Mwako, Na Unasikia Msukumo Na Kiu Ya KUANZA MAISHA MAPYA NA YESU; Tafadhali NITUMIE UJUMBE [Inbox] Hapa Facebook Ukieleza UHITAJI WAKO, Au NITUMIE MESEJI [Kwenye Namba Yangu Ya Simu] Nami Nitakusaidia:
“ROHO WA BWANA YU JUU YANGU, MAANA BWANA AMENIPAKA MAFUTA KUWAHUBIRIA MASIKINI HABARI NJEMA… KUWAFUNGUA WALIOFUNGWA; KUWATANGAZIA UHURU WALIOSETWA” (Luka 4:18).
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com
+255 655 466 675
+255 753 466 675

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: