ALICHOFUNDISHA MWALIMU MWAKASEGE , JANGWANI

mwakasege

Na Eng Kombe Chemical

SIKU YA KWANZA

Semina ya maelekezo (Elekezi)

TITLE: Hatua zitakazo kunasua kutoka kwenye madhara ya sadaka kwa miungu ya kifamilia

NENO:Si watu wengi watafuatilia hili somo bila kujua madhara ya sadaka hizi

Mfano: Kundi la kwanza ni watu kama musa kutoka 32:1-6:

* Semina hii si kwa wale waliotoa sadaka kwa ndama bali kwa Musa, hii si kwa Haruni. Hii inamhusu MUsa amabye hakuhusika kabisa ktk utoaji wa sadaka * Ina mhusu mtu kama Gideon..Waamuzi 6:.. Baba yake Gidion alikuwa akitoa sadaka kwa mungu baali…Hatuzungumzii habari za baba bali za gideoni aliyemwacha mungu wa babaye * 1 king 18:3-4…Hii si kwa ajili ya manabii wa baali bali ni kwa ajili ya Eliya na mananbii 100 * kutoka 20:4-5..Hii Semina haiwahusu waliotoa sadaka kwa minugu mingine bali kizazi cha pili * 2 kings 17:23-33….kulikuwa na Mungu wa nchi anayemiliki ardhi kihalali..Mungu akatuma simba kwa sababu ibada haziendelei hivyo dawa yake ni kutafuta kuhani anayejua taratibu za Mungu anayemiliki……Semina hii ni kwa ajili ywa watu walionunua ardhi /biashara bila kujua kawaida ya arhi ya eneo. Usipofuata masharti kwa mungu wa nchi kuna adhabu, ukiamua kufuata mmjo kuna adhabu.

Zege Madhara wanayopata kama kina Musa, Eliya, Gidioni

* Kutoka 32:7-10…

1. kama kwenye familia kuna watu wanaotoa sadaka kwa miungu mingine kinachotokea kwanza ni utengano…kwa mazungumzo haya Mungu aliona kabla ya musa….Joshua hakuweko lakini anguwawa…huduma ya Musa ingechnji complete…..Kitu cha kuona ni kwamba mpasuko unatokea

2. Mtu anayeabudu miungu mingine anauawa…waamuzi 6: ….watu walimtafuta gidinioni ili auwawe

3. Katika ulimwenguwa roho kunatokea ukuta kati yako na ndugu zako..mawasiliano yanakatika kabisa….ukikutana na hao ndugu labda kwenye msiba….

4. Unazaliwa ugomvi….kutoka 32:26…Ndugu wakauwawa…, mkamchinje kila mtu ndugu yake, na kila mtu mwenziwe na kila mtu jirani yake.Na hao wana wa Lawi wakafanya kama vile alivyosema Musa, wakaanguka siku ile kama watu elfu tatu…….Ile sadaka imeleta makundu kwenye familia na kuua kwa ajili ya dini.

5. Ni hatari sana kunapokua nawatu wa imani tofauti ……Watu wengi sana hawajajua kwamba shida hii ni sadaka ya miungu. Musa hakutoa sadaka lakini alijikuta kweny kuua…baada ya kutambua haisaidii akasemA nitarudi tena kwa Mungu.

6. Familia nyingi zina vikundi vikundi

7. Kiwango cha upako juu ya Musa kilishuka…kutoka 33:1-5….kama mimi nikiingia kati yenu dakika moja, nitawaangamiza; basi sasa vueni vyombo vyenu vya uzuri ili nipate kujua nitakalowatenda….unaweza kwenda kaanani lakini below standard

8. Manabii walikaa pangoni kama miaka 3.5, wakiwa chini ya kiwango kwa kumwogopa Yezebeli..Wakati alyendani yetu ni mkuu.

9. Kilichomwondoa Eliya kazini ni kukosa stamina….

10. Hasara nyingine ni ndoto….kutoka 24: ….kutoka 32:7…Hawa watu wamejiharibu NAFSI zao..ndni ya nafsi kunabeba computer kutoka mbinguni uishi kama Mungu aliyokusudia…check hebrews 7:9..Lawi ni mtoto wa yakobo…Lawi alikuwa kizazi cha nne kutoka ibrahimu…Miungi ikiingia agano inaingia na familia…lawi alikuwa kiunonni mwa ibrahimu…

11. Gideoni alikutwa akipepeta ngano…..Gideon..Mbinguni wan gideon shujaa lakini mzee josh ana gidioni mpepeta ngano.

12. Hushughuliki na madhabahu maana madhabahu ina kitu nyumba…..usifanye haraka kaa kwenye darasa…

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo
6 comments on “ALICHOFUNDISHA MWALIMU MWAKASEGE , JANGWANI
 1. JACKSON EDWARD LYOVA says:

  Naitwa Jackson Nina LA ukoo LYOVA. Nimerithi Nina hili kutoka kwa babu mzaa mama ifariki kama miaka kumi iliyopita,cha ajabu usiku amefariki wakti wana jiandaa kwa mazishi ghafya alitokea nyoka MKUBWA sana na akaanza kuzaa watoto walioshuhudia wanasema alizaa kama watoto mia na zaidi. kifupi maisha yangu siyo mazuri inawezakuwa ndo chanzo?

 2. nimebarikiwa na ushuhuda wako kaka

 3. David deogratias kumulaga says:

  Mtumishi wa MUNGU ubarikiwe kwa uduma hii yenye kubariki na kunikuza kiroho..tizama ninayi kiu kubwa yakuwa kama wewe..na ntafurai na kubarikuwa siku ntakapokuona USO kwa uso

 4. mt.Lwena says:

  Mungu akubariki sana mt.mwakasege Yesu ainue kipawa cha ualimu

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: