Mungu ni Hodari

“Tazama, Mungu Ni Hodari, Wala HAMDHARAU MTU YEYOTE” (Ayubu 36:5).
Nani Kakwambia Kwa Vile Watu Wanakudharau Na Kukuona Hufai Ndo Mwisho Wako??
Neno La Mungu Hapo Juu Linatueleza Wazi Ya Kwamba, Huyu Mungu Aliye Hai, Aliye Hodari Na Mkuu HAJAWAHI KUMDHARAU MTU YEYOTE… Kama Mungu Hakudharau, Inakusumbua Nini Kudharauliwa Na Wanadamu? Wanadamu Ni Watu Tu, Wanakupima Na Kukuthamini Kutokana Na Ulichonacho Na Hali Yako Uliyonayo Pia Kimaisha… Wanakuheshimu Au Kukudharau Kutokana Na LEO YAKO Ila HAWAJUI KESHO YAKO… Kwa Mungu Yote Yanawezekana, Na Pia Siku Moja Kwa Mungu Ni Sawa Na Miaka Elfu, Anaweza Kuibadili Historia Yako Ndani Ya Muda Mfupi Sana… Endapo Utapuuzia Dharau, Kebehi Na Vijembe Vya Wanadamu, Huyu Mungu Aliye Hai ASIYEKUDHARAU Atakutendea Mema; Unakuja Wakati Maishani Mwako Ambapo, Wema Na Fadhili Vitakufuata Siku Zote Za Maisha Yako.
Mwamini Mungu Ili Uthibitike Na Waamini Manabii Zake Ili Ufanikiwe!
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com
+255 655 466 675
+255 753 466 675

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: