Mfungo wa Mathayo

Mfungo

Kwa Wiki Hii Inayoanza 3/3 Hadi 9/3 Nitakuwa Na Mfungo Maalum Wa Masaa 12 Kila Siku Kwa Ajili Ya Kuhuisha Roho Yangu, Na Kuipa Nafasi Ya Kupata SIRI Zilizofichama Kwenye Kurasa Na Sura Za INJILI YA MATHAYO Ambapo Kila Siku Nitasoma SURA 4 Hivyo Mpaka Jumapili [Ndani Ya Siku 7] Nitakuwa NIMEMALIZA INJILI YA MATHAYO Na Kupata “KILA ALICHOKUSUDIA KUNIPA MUNGU KATIKA KITABU HIKI” Na Kubwa Na Zuri Ni Kwamba NITAKUWA NINASHARE KILA UFUNUO NILIOPATA KWENYE KILA SURA!
Kila SIRI Nitakayoipata NITAIFANYA “PRAYER POINT” Yangu Ndani Ya Siku Husika Na Wiki Yote… Lazima Kitu Kitokee.
Ukitaka Kupata Matokeo Ambayo Wengine Hawajawahi Kupata, Fanya Kile Ambacho Hawajawahi Kufanya!
Mwl D.C.K
dicoka@rocketmail.com

Advertisements

Karibu kwenye Tovuti ya Kikristo... hapa utapata mafunzo Mbali mbali ya kukujenga kiimani ,kifahamu,kimazingira na hata kitabia Karibu Tena

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: